Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
litakuwa ni pigo kubwa sana cz i still love her
Acha ujinga mkuu!!pigo?????basi ebu assume ndio kafa.

kwa kizazi hiki cha yudah hilo ni jambo la kawaida kutokea. ACHANA NAE MARA MOJA KABLA HAUJACHAFUA MASHAVU YAKO KWA MACHOZI.
Mwazoni tulipendana sana kiasi kwamba 2liweza kuongea hata kwa masaa 3 bila kuchoka , alinipigia cm kila cku , saiz kupokea message yake ni mpka nimtumie ndo anijibu ,mara ya mwisho kanipigia cm cjui ni mwezi gan ! Kuna dalili za mapenzi ya kweli hapa ?

we sema mwanzo nlimpenda xana na sio tulipndana sna kwni ulkua unaujua moyo wake
Miezi Mitatu yote hiyo haujatangaza uchumba alafu unasema your Heart Loves??