Mapenzi yakivunjika huwa unafanya nini?

Mapenzi yakivunjika huwa unafanya nini?

D
Ha ha! We endelea kuishi tu.. Sina ushauri ya kuwa umrudie au usimrudie huo ni uamuzi wenu mi nilichoeleza ni tabia ya mapenzi tu.. Kama kilichowaunganisha hakikuharibika basi jua kuna nafasi ya kurudiana ikitokea mkafanya mawasiliano n.k.. mwisho kabisa tukazani kujidumisha kiuchumi gharama za maisha bado zinatusubiri.
Duuu!sawaa mkuu ila hilo halitawezekana due yy anajikuta mtu mwenye msimamo sanaa kwa hyo c rahc ajishushe maana ataona amekuwa underdog
 
Ingawa iliniwia ugumu kumuacha lakini nilijipa ujasiri baada ya kumuacha mara mbili lakini namrudia mara ya tatu nikimuacha jumla mpaka leo

Nilikaa almost wiki na nusu Tu nikapata huyu nilie nae muda huu(ingawa nilipanga kukaa muda mrefu bila mahusiano ya kudumu ningekua nikishikwa genye natafuta nakula),huyu angalau Kwa kiasi kikubwa tunaenda ukiachalia mbali kasoro za hapa na pale,mwanamke mpambanaji jasiri mshauri anaejali Sana

Yule niliemuacha amekuja anataka kunirudisha kwake na wala sitaki
 
D

Duuu!sawaa mkuu ila hilo halitawezekana due yy anajikuta mtu mwenye msimamo sanaa kwa hyo c rahc ajishushe maana ataona amekuwa underdog
Ha ha! Inaonekana unataka mrudiane!.. ugumu wa misimamo n.k majibu yapo kwenye muda we ishi tu fanya yako.
 
Kuna mwanamke nilimtongoza akanijibu..Nisimsumbue ana mtu wake wanapendana sana..Baada ya kama Mwezi Nikaona Sms "Mambo" Kilichofata ni Ule Uzi wa Kimasihara.. Kumbe walizinguana na jamaa yake wakarudiana tena...ila tukawa tunaendelea kuonjana.
 
Back
Top Bottom