Mapenzi yakivunjika huwa unafanya nini?

Mapenzi yakivunjika huwa unafanya nini?

Kwani lazima uwe kwenye mahusiano siku zote?? Kama mtu kakuacha pumzika taratibu punguza maumivu relax fanya mambo mengine utampata mwingine hayo ya kuanza kufukunyua no za waliowahi kukutaka haisaidii sababu utakuja kumuumiza huyo mtu, kunakuwaga hamna upendo hapo zaidi ya kujaribu kujimwambafy kwamba unaweza pata mwingine hahaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
nakusanya vipande natupa kwenye dustbin. life is too short to beg for love.
 
Mkuu inaonekana ulishindwa bembeleza!
Unatakiwa unatia vokali mpaka kushinda neno msamaha wenyewe!
Usipende kuwaambia hao viumbe kuwa asipokukubalia utazurika ndo atataka uzurike sasa akuone😂😂

mi ndo nilijulia hapo kuwa mapenzi yanauma nikarudi nyuma nikapanga majeshi nikaamua sasa.. mpk leo sikuwahi kumtafuta
Kama mtu hujajipanga usiache bora ukakaanae huku unajiandaa kumuacha alasivyo unaweza tangazwa hata TBC mtu kajitia kamba😎

Mapenzi kiboko ukipenda ile kupenda😜

Dah.. hatari sana mkuu

Huwa nikikumbuka naishia kucheka tu peke angu..
 
Nilishawahi kumuacha mwanamke huyo kumbe sipo tayari nilikoma kenge Mimi!!
Nilifuta namba zake zote! Mbona nilianza kuzitafuta😜

Uzuri akanitafuta tukarudiana hapo ndo nikaanza kujiandaa kumuacha! Nashukuru nilifauru kumuacha nikajua na mapenzi ni nini..!! Na hapo ndo nikaelewa kwanini baadhi ya vitu vimeandikwa "SHAKE BEFORE USE!".

Ushauli Kama mtu umempenda usimuache kwa pupa utakufa kikenge na ukiona haeleweki Anza kukaa mguu nje mguu ndani.. wachache watanielewa.
Hakika nimekuelewa
 
Bado mnawaendekeza hawa ndezi....... Hayo mambo tumeshayaacha huko 2019....... Huu mwaka tumeanza tofauti.....

Mwanamke this mwanamke that.... Eeeish tumechoka..... Wao wanataka drama huo muda wa drama nani anao...... Tafuta manzi serious fanya maisha achana na upuuzi wa theory sijui za kuishi nao kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuachwa kusikie tu kwa jirani. Yani mwili ulikua unapata joto, jasho linanitoka , nakua kama nimechanganyikiwa hivi... ilikua mpaka nioge ndo narudi hali ya kawaida... nalala nalia namka nalia... yani nilikua nalala hadi siku 3 mfululizo nikiamka ni kula na kulala.. aisee kuachwa ni kama kifo hakuzoeleki na hakua hata mwanaume wangu wa kwanza.

Sent From Galaxy S9
 
Kuna binadamu wengine katika maisha yao hawataki kusikia kuna second place au second chance. wao ni first place au first chance au first encounter tu.

Ukimzingua ana move on and he/she will never look back and swallow his/her pride.
Hakuna kutunza namba kisha unakuwa kama fisi anaye subiria mkono wa binadamu uanguke apate kitoweo.
 
Kwa sisi wanawake tulio wengi kama umeachwa au umemfumania umpendae tunahisi maumivu makali hadi kutamani kuzimia

Mawazo, maumivu ya kichwa, mwili kuwa na joto na uchovu, hapa sitaki niongee kuhusu mahusiano tena,hata kama mwanaume ataninitongoza naweza kumjibu vibaya

Baada ya siku kadhaa hivi nachukua simu naingia WhatsApp, insta au fb au kwenye orodha ya majina ya simu halafu naanza kuangalia kati ya wanaume waliowahi kunitongoza nikamkatalia ni nani handsome na alikuwa serious na mimi

Nitaselect jina nitamtumia sms "Mambo" akinijibu atajiongeza mwenyewe kwa nini leo nimemtafuta

Sasa wale wanaume mnaokataliwa wakati mnatutongoza halafu mnaishia kutoa mabango na lugha za kashfa hii nafasi huwa inawakosa
Cha kwanza:nakaa kimya kama week moja kisha kujiuliza sababu za kuachwa kama kosa ni la kwangu nitakubali matokeo

Cha pili:baada ya mwezi x-wangu nitamchukulia kama rafiki ambaye tutakuwa tunapeana mawazo kuhusu maisha.

Cha tatu:katika kipindi cha urafiki nitamuonesha nimebadilika kitabia nina focus ktk vitu vya kimaendeleo

Cha nne:baaada ya miezi mitatu urafiki wangu na yeye kuanza kuwa mtamu nitaanza taratibu kujitoa na kujitenga na yeye kama rafiki

Cha tano:naanza kumpotezea kama rafiki huku nikimsikiliZia kama atajirudi au laaa hapo ndipo nitajua kama kweli alinipenda

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Sijawahi kuachwa ila niliwahi kuacha. Nilipoacha nilitulia muda mfupi nikaanza mahusuano mapya. Kanuni ilikuwa moja, kata mti panda mti. Adios
 
Nilishawahi kumuacha mwanamke huyo kumbe sipo tayari nilikoma kenge Mimi!!
Nilifuta namba zake zote! Mbona nilianza kuzitafuta😜

Uzuri akanitafuta tukarudiana hapo ndo nikaanza kujiandaa kumuacha! Nashukuru nilifauru kumuacha nikajua na mapenzi ni nini..!! Na hapo ndo nikaelewa kwanini baadhi ya vitu vimeandikwa "SHAKE BEFORE USE!".

Ushauli Kama mtu umempenda usimuache kwa pupa utakufa kikenge na ukiona haeleweki Anza kukaa mguu nje mguu ndani.. wachache watanielewa.
Mm nna wangu nmempenda ila tulivyozinguana nkamjarbu kumshawish arud akakataa,nlichoona kinafaa n kufuta namba zake na pich zake now najiona npo na aman sanaa japo hata cjmaliza mwez ila mtihan huu wa kumsahau naona kama nmeushinda
 
He he! Taratibu tu ndugu lkn usijeshangaa mkarudiana
 
He he! Taratibu tu ndugu lkn usijeshangaa mkarudiana
Si rahc mkuu maana maneno ya shiit nliyomtolea hata hanitaman,mm nliamua kudelete # zake cz alishaanz nifuatilia kama kuanz ku view status xo nkaamua asiwe anajua kabxa life style langu la sasa iv
 
Si rahc mkuu maana maneno ya shiit nliyomtolea hata hanitaman,mm nliamua kudelete # zake cz alishaanz nifuatilia kama kuanz ku view status xo nkaamua asiwe anajua kabxa life style langu la sasa iv
Maneno si kitu ndugu ubovu kiharibike kile kilichowaunganisha hapo ndo tabu..😅
 
kwa hyo unataka nambiaje mkuu?
Ha ha! We endelea kuishi tu.. Sina ushauri ya kuwa umrudie au usimrudie huo ni uamuzi wenu mi nilichoeleza ni tabia ya mapenzi tu.. Kama kilichowaunganisha hakikuharibika basi jua kuna nafasi ya kurudiana ikitokea mkafanya mawasiliano n.k.. mwisho kabisa tukazani kujidumisha kiuchumi gharama za maisha bado zinatusubiri.
 
Back
Top Bottom