Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,597
wote ni wabakiaji, hamna wa kuachia bodi, sijui idadi yenu ikoje kwa sasaTuko wangapi?....
Una akili sana
wewe,anayeingia mlangoni fo shua ni
Ruttashobolwa,,sasa endeleza story kwa
kutueleza huyu mmama ni..........,ila hako kajamaa kanakoning'inia juu
la lamp holder sura ni ya Chimbuvu kabisa
kabisa.
Una akili sana wewe,anayeingia mlangoni fo shua ni Ruttashobolwa,,sasa endeleza story kwa kutueleza huyu mmama ni..........,ila hako kajamaa kanakoning'inia juu la lamp holder sura ni ya Chimbuvu kabisa kabisa.
wote ni wabakiaji, hamna wa kuachia bodi, sijui idadi yenu ikoje kwa sasa
Ulishamaliza matatizo ya ndoa yako?
Kha! Mbona unajishuku? Nimekutaja wapi Madame B.
Kujishuku muhimu.
Au wewe ulimlenga mwanamke gani?
Haya nitajie basi huyo mwanamke wa Ruttashobolwa na Chimbuvu fasta.
Kwi kwi kwi unauliza pingu polisi?
Jibu sasa,
unajichekesha kitu gani wewe Muhaya toleo la mwisho.
Muulize arushaone atakueleza nani anatafunwa na hizo njemba mbili.