J John Gelas Senior Member Apr 25, 2012 168 7 Apr 25, 2012 #1 Vijana kwa wazee hakuna bora.wote waongo wanasema" chakachua na mm nchakachuliwe bora nsimjue mwizi wangu.kwamba cku hizi tunashea mapenzi."mm siJui nimpende nan!
Vijana kwa wazee hakuna bora.wote waongo wanasema" chakachua na mm nchakachuliwe bora nsimjue mwizi wangu.kwamba cku hizi tunashea mapenzi."mm siJui nimpende nan!
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,582 2,082 Apr 25, 2012 #3 Vipi mkubwa umekosea njia? Karibu sana.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,982 12,703 Apr 29, 2012 #8 anko.sam1 said: hodi wana forum, hamjambo? Click to expand... Hatujambo karibu ndani.