Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,339
- 83,786
Hata wewe unaweza ukanipa sababu kuonyesha kwamba wanaume mna mapenzi ya kweli? Maana mimi nikikupa sababu zangu hautaziamini sasa wewe nipe sababu zako
Your answer was too general and more of ambiguity so i could choose whatever interpretation that acquiesce in my point of view.
Pengine labda kwenye hayo mahusiano yenu mwanaume ndio mwenye mapenzi ya rohoni wakati wewe ni actor tu!
Ni kweli wanawake ninyi hamna mapenzi ya kweli kama ambavyo nimekwisha elezea hapo nyuma hilo halibadiliki.
Unaweza ukanipa sababu kuonesha kwamba nyinyi wanawake mna mapenzi ya kweli kuliko wanaume!?