Habari wakuu.
Tatizo gani kiufundi limetokea mbona penzi limekuwa linapatikana kwa urahisi sana tofauti na miaka hiyo.
Principal zimekuwa chache sana leo hii yaani ukichukua namba tu Tayari.
Ukisema uende kuombewa kufika kanisani au msikitini mara nako ni hivyo hivyo.
Yaani kupata mnyanduano kwa sasa ,imekuwa kama kunywa Energy drink ya Mo.