hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama whatsaps groups na facebook na akadum nae kwa upendo wa dhati? naombeni uzoefu wenu wakubwa maana kunabinti kanipenda kulitia whatsapp groups sasa kama siamini vile
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana, hivyo ya kupasa kuelewa jambo hilo kwanza.
Mwanamke anaweza kukupenda kwa jinsi unavyozungumza, ulivyo mcheshi, au labda una vituko basi akakupendea hivyo vituko kwakua vinampa raha fulani.
mfano patia picha wewe ni mcheshi muda wote una amsha amsha pindi unachat/kuzungumza nae,
wakati huo yeye ni mwanamke alie singo au ana matatizo katika mahusiano yake, moja kwa moja ataanza kulinganisha hali haliyo nayo na atakayokuwa nayo wakati atakapo kuwa nawe kwa ukaribu zaidi.. hivyo automatically tu anafall kwako.
sasa kufall na kudumu ni vitu viwili tofauti kabisa, kwanini? (kwasababu rejea hapo nilipokoleza red) kuna wakati mtu anakuwa anahitaji kuliwazwa kimapenzi tu kutokana na situation ya upweke aliyo nayo wakati huo, akipata na kiridhika basi hamu yakukuhitaji itapungua tu.
Ninachosema wapi mmekutana sio guarantee ya nyie kudumu/kutodumu, cha msingi mchunguze kiundani umjue alivyo, kama analipa na anachura ya kutosha ukimridhia beba mzigo (joke).
kuwa makini kijana, maisha hayana formula kama ya hesabu za MAGAZIJUT... maisha ndio hayo uishio.
THINK&CHOOSE WISELY!
😉