Mapenzi ya mtandaoni yanaweza kudumu?

Mapenzi ya mtandaoni yanaweza kudumu?

Kudumu anaweza kudumu....ila ss zisikuchanganye pic zao z mtandaoni maana unawez kukutana naye ukatahamak
 
Mmhh sina hamu na hio kitu mm wrong number tuu inanitesa mpaka leo duniani sipo ahera sipo.......NAJUTA KUFAHAMIANA NAE YULE MJAMAA LOOHH!!!!
mkuu fafanua vyema basii ..
 
Mmhh sina hamu na hio kitu mm wrong number tuu inanitesa mpaka leo duniani sipo ahera sipo.......NAJUTA KUFAHAMIANA NAE YULE MJAMAA LOOHH!!!!

Aliisasambua papuchi akatembea ..
Pole mkuu ni mapito ya kidunia tuu
 
Hahaha hahaha hahaha haya bana

Nime jaribu kuiga kwa kucheka ulivyo andika (hahaha)x3 nimejikuta najichekea mwenyewe.

Okay, pole mkuu. Uzuri ata angeisagula vipi hawezi kuondoka na utamu uliopo .. relax and move on
-au vipi!?
 
ana muda gani na wewe? Nani alimwanza mwenzie?vipi ameshaanza kukupiga vibomu.?

mkuu wao ni wakishua afu mi maisha yang yakawaida ajawai niomba pesa na tunamiez miwili mpaka sasa ila tupo mikoa tofaut japo mda mwng tunachat
 
Hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama WhatsApp groups na facebook na akadumu nae kwa upendo wa dhati?

Naombeni uzoefu wenu wa kubwa maana kunabinti kanipenda kulitia WhatsApp groups sasa kama siamini vile.
Unajitakia stress
 
Ahsante kwa kushare hii info. Kama utaweza kutufahamisha ni kwanini Dada yako na mume wako waliamua kutosema ukweli wapi walipokutana?

Dada yangu mimi aliolewa na mwanaume aliefahamiana nae instagram tokea yupo chuo mwaka wa pili UDSM so kipindi anarudi likizo hom alikuwa hanifichi kuhusu hilo kuwa amepata boyfriend kutoka instagram

Lakini hiyo ilikuwa ni siri yetu sisi tu hadi anamaliza chuo mwaka 2016 na ndoa wakafunga kabisa lakini siri ilibaki kuwa moja tu je Walifahamiana wapi ?

Hilo ndio swali ambalo ilibidi wadanganye kwa wazazi kuwa hawakufahamiana kwenye mtandao bali walikutana kipindi sister yupo field kwenye kampuni flani hivyo ndio mahusiano yakaanzia hapo, ilibidi wadanganye hivyo ili kuondoa wasiwasi kwa wazazi

Ila tu sio kila unayemuona kwenye mtandao umuamini direct........
 
Back
Top Bottom