Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
- Thread starter
- #81
Ok, sikubahatika kuusoma .. labda ndo kipindi kile nilikuwa naishi kijijini.Kuna uzi mmoja ulianzishwa zamani kidogo wa BMW nikawaambia vile nazimia hayo magari na nikaweka picha ya BMW nililopewa zawadi na mahabat wangu na kamkono ka Kasie kakawa kanaonekana.
Sasa kuna kastori nyuma yake.