Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Ebu tumsubiri afunguke
Ntakuwa wa mwisho...
Ebu tumsubiri afunguke
Si unifundishe nami pia mahusiano ya Mtandaoni sijawahi kuwa nayo.
Nakupenda najua unavyonipenda kasie.You know what, one day HE CALLS ME AND SAY..... YOU KNOW WHAT KASIE....
YOU ARE TGE WOMAN IVE BEEN LOOKING FOR AND AM READY TO TAKE YOU TO MY GRANDPA WHO ALWAYS WANTS ME TO MARRY BEFORE HE KICK THE BUCKET.....
That day I shed tears, I ask is this a joke or serious..... He said, am serious. I was like...... Mdomo wazi nimepigwa na butwaa.... Huyu mwanaume nampenda kufaa.
In my life,he is the one and only my heart clicks with his and good enough HE KNOWS and I LOVE HIM SO MUCH, pure love.
Akipita kusoma hapa atatabasamu.
Nakumbuka tulikutana kwenye mtandao wa kijamii ulikuwa unaitwa darhowire.com sijui bado upo.Enzi zile unachat na yahoo messenger ukibahatika kumpata mdada wa boarding huko basi kijamaa kinasimama kinarukarukaa mnapeana ahadi akifunga shule tu unakuwa unamsubiri ubungo
[emoji848] [emoji848] Nataka uwe Kiongozi wangu maana una Uzoefu.Usiyajaribu maana utazama humo halafu jamii itakupoteza. Bora ubakie hivyo hivyo.
And I’ll be the penultimate one to give my testimony....
Dah ule mtandao wa zamani hadi nshausahauNakumbuka tulikutana kwenye mtandao wa kijamii ulikuwa unaitwa darhowire.com sijui bado upo.
more concentration needed.....keep goingNimejitahidi kutafuta hiyo raha ya mapenzi ya mtandaoni, sijafanikiwa kupata. Mkuu hii habari sijui imekaaje, au mimi mgumu kuelewa?
Kasie i miss you so much[emoji7][emoji11][emoji8][emoji9][emoji173]So many times, but.......
I'll be the last one to give my testimony.
Atapajuaje bila kujulishwa?
Wew mbabu mwaga story ikawaje .uyo binti ajawa bibi yangNakumbuka ilikuwa tarehe 27 Dec. tulitoka kwenda mjini kati kutembea, tukiwa stand tukisubiria daladala alinambia kitu ambacho kilikuwa kama mchezo wa kuigiza.
Alinambia nimempata bila kumtongoza, hivyo akanambia nimtongoze vinginevyo haturudi wote hotelini. Nikamwambia anipe kama dak 15 ndo nitaanza kumtongoza ...
Daladala ilipokuja tukapanda na kukaa siti moja (ya watu watatu). Hapo hapo nikamsalimia ..
Dada habari za leo ... akajibu, unaelekea wapi? ... akanikemea .. we unauliza maswali gani hayo.. hapo hapo nikaendelea kumsemesha ...tulipofika mnazi mmoja akasema anashuka hapo ... nami nikamwambia hata mimi nashuka hapo ... kwenye kulipa nauli sasa .. nikamwomba anilipie kwa sababu mimi sina hela .. nilipanda lile gari kwa sababu yeye alipanda...
Ah! Konda alinitukana ... abiria wakazomea ... binti wa watu akasema kwa upole "pole nakulipia lakini usinifuatefuate"
Mara abiria wakaropoka ... wasanii hao!
Hiyo busu nipe mie
Nakupenda najua unavyonipenda kasie.
Daima nitakupenda mrembo wanguu
Hah bado sana tu; umri huu ndo sasa wa ku-enjoy hayo majamboz kwa sababu woga ulishaisha. Kila kitu ni kama zilipendwa. Hata nikimpigia simu nikamwambia "zilipendwa hujambo"? anacheka then anajibu kawaida.Wew mbabu mwaga story ikawaje .uyo binti ajawa bibi yang