Mapenzi ya mtandaoni ... raha!

Mapenzi ya mtandaoni ... raha!

Niko na moody ya kuchart lakini naona wanakamati wanaanza kuingia na mimi ndo Katibu wa hiki kikao; nitawamis kwa muda hadi hapo tutakapokamilisha kikao.
Karibu hapa Vatcan Village tupeane moja moto moja baridi wakati tukikamilisha mipango ya kijana kupata jiko.
 
Hahahahahhahahaaa bado unakumbuka?

BMW na Kasie ni zipu na suruale.

Usijali ntaianzishia uzi kabisaaaa.
Dah huwa sipendi utani kwenye hizo Mada napenda sana kujua mambo ya Sirini.

Uje uniambie hata kimoyomoyo basi.
 
Hah bado sana tu; umri huu ndo sasa wa ku-enjoy hayo majamboz kwa sababu woga ulishaisha. Kila kitu ni kama zilipendwa. Hata nikimpigia simu nikamwambia "zilipendwa hujambo"? anacheka then anajibu kawaida.
Hahaha
 
Mkuuu hiyo Lodge yenye rula vyumbani iko mitaa gani huko kwa Makonda au ile rula ya kupima samaki Bungeni uliondoka nayo Idodomya mjengoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo nini hiyo?

Kuna uzi mmoja ulianzishwa zamani kidogo wa BMW nikawaambia vile nazimia hayo magari na nikaweka picha ya BMW nililopewa zawadi na mahabat wangu na kamkono ka Kasie kakawa kanaonekana.

Sasa kuna kastori nyuma yake.
 
Kuna uzi mmoja ulianzishwa zamani kidogo wa BMW nikawaambia vile nazimia hayo magari na nikaweka picha ya BMW nililopewa zawadi na mahabat wangu na kamkono ka Kasie kakawa kanaonekana.

Sasa kuna kastori nyuma yake.
Gari kali lile na inaonekana lina fujo sana Barabarani.
 
Kwa umri huu ukimpa ahadi ya kukumbushia ukamwambia afike saa moja jioni - anafika saa 11 ili umkute tayari kaishachangamka.

Tofauti na vibinti ambavyo vinachelea au kutokuja kabisa. Kakichelewa kanasema kalisubiri mama atoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom