Mapenzi ya mjini siyawezi

We chalii mpe demu hela kama huwezi piga chini,af siku nyengine usitongoze waroho wa pesa!
 

Endelezeni ubahili mlishwe haraaam.....
 
Kwahiyo hilo swali lako ulitegemea kupata jibu gani?

Mi najua wanaocharge ni wale ambao wako kwenye biashara mana mi hata nikipewa kiasi gani najua ni wajibu wake.


Ni sawa na kusema unauza.
 
Daah, Tshs.20,000 ni pesa kubwa tusibeze, maisha ya mjini tunayafahamu.
Lakini Tsh 20,000 ni pesa ndogo sana, hata saloon haitoshi kwa unayempenda. Remember, wanaume siku zote tunapenda siku ya kwanza kumwona Msichana,
kwa hiyo kama kweli unampenda hiyo pesa ni ndogo sana na amekujaribu,
Watu wanatoa Magari, Nyumba kali.....
Bado hujapenda.......
Me Bwana Nikimpenda Msichana Nataka hata Marafiki zake wajue kabisa yani kwamba Shosti kapendwa,
Nampiga Pamba, kila kitu fulu.....
Si nimempenda????
Labda niulize kuna raha gani duniani inayoizidi raha ya mapenzi, kwamba unampenda na anakupenda...
kwa mfano una nyumba nzuri bado bila mke/mpenzi hainogi,
unna gari nzuri bila kifaa kikali pembeni bado kuna shida,
una pesa nyingi bila kuwa na umpendaye mjue mtumieje bado,
hata kama wakupe Billion 200 yani bila kifaa bana bado,
so kama unampenda fanya kumpa.
 
Endelezeni ubahili mlishwe haraaam.....

haraaam kitu gani... na nyie punguzeni kuomba omba, kabla hawajafahamiana hizo hela alikuwa alikuwa anaoewa na nani?
kupendwa kidogo tu anaanza kwa kuomba pesa weeee..
angalau hata wangekuwa ni wachumba tayari.
 
sawa sikatai hupo sahihi lakini sasa ni wiki moja tu bado mjajuwana vizuri. Fikilia tena Bro
 
20,000Tshs ndo umeianzishia thread? We kaka hata kama ni ubahili we mwenzetu umezidi, hivi uko serious au unatania?
Tatizo sio ubahili dada ni mapema sana act wewe unaombwa mzigo ndani wiki moja. utampa?
 
ni mbahili sana huyu wenzako wanalipa kodi ya miaka wew unavurugwa na 20 mh kwel nora nimheshim huyu nlienae
wewe unaweza kutoa mzigo ndani ya wiki moja na bado amjafahamiana vizuri. kama wewe dada poa sawa sitoshangaaa mahana ndio kazi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…