Siuzi na wala sina plan za kuuza.
20,000Tshs ndo umeianzishia thread? We kaka hata kama ni ubahili we mwenzetu umezidi, hivi uko serious au unatania?
Elfu 20 mbona ni hela ya kununulia always........kaka vipi wewe.........
kama kweli nipe na mimi kidogo tu
Je unajua kwamba elfu ishirini unaweza kufungua biashara ya pili pili??
pili pili za elfu ishirini unazimaliza ?
sometimes inauzwa shilingi ngapi ?
kama kweli nipe na mimi kidogo tu
Je unajua kwamba elfu ishirini unaweza kufungua biashara ya pili pili??
pili pili za elfu ishirini unazimaliza ?
sometimes inauzwa shilingi ngapi ?
20,000Tshs ndo umeianzishia thread? We kaka hata kama ni ubahili we mwenzetu umezidi, hivi uko serious au unatania?
Siuzi na wala sina plan za kuuza.
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida
'Mapenzi hayauzwi na hayatolewi bure'
No matter 20 unaweza kufanya nini ila huwezi kuanzisha uzi eti kwasababu mpenzi wako kataka 20,
Wewe una charge kiasi gani?
Sijakuuliza kama unauza au una mpango wa kuuza.
Kwani kuanzisha uzi ni kama shingapi hivi