Mapenzi ya mahandsome

Mapenzi ya mahandsome

Mahandsome wakichekewa tu wanavua boxer dah kazi naametoka kwa mke wake mida sio mbaliii
 
Mnafuataga nini mmeoa au mnamtu anakupenda anakujali ila huyo kufumaniwa kila daily mnaalaniwaga au ni makusudi au huwa mnanitakaje au masifa tu ili muonekani masifa huwa yanabomoa eti kila mara hayajengeki.
 
Hawajutii vidume wenye sura ngumu uhandsome ndio nn
Mimi huwa nikiwa na mdada huwa namfanya ajue nguvu niliyonayo ya kiushawishi mpaka anaona hawezi fanikiwa bila mimi, namsaidia kuendesha mambo zake, na kumshauri, kwenye mitupo asante Mungu kwa kuninyima kiba100 na kunijalia nguvu ya simba. Ukiona unaombwa na mpenzio akidai amemiss kusuguliwa jua uko mkide.
 
Mahandsome wengi wanapatikana saloon za kiumeee

Alafu vodacom Ofisi kuu ya Dom ina bonge moja la handsome ina maana na yeye hatotudu kwenye ndoa kama Mo j aiseeee
Huyo wa Vodacom, utakuta anatumiwa kufanya marketing kwenye ofisi zenye maDu huko kwa wagogo....
Na hao wa saloon, mara nyingi huwa ni mapunga, na wanakaa saloon za kiumeni wakijipaka poda ili kuwanasa mabazazi....
 
Mimi huwa nikiwa na mdada huwa namfanya ajue nguvu niliyonayo ya kiushawishi mpaka anaona hawezi fanikiwa bila mimi, namsaidia kuendesha mambo zake, na kumshauri kwenye mitupo asante Mungu kwa kuninyima kiba100 na kunijalia nguvu ya simba. Ukiona unaombwa na mpenzio akidai amemiss kusuguliwa jua uko mkide.
Woyoooooooooooo
 
Back
Top Bottom