mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Weka picha hatutaki maneno matupe mwenye kibamia anasema basi
kibamia changu atakiona sakayo peke yakeWeka picha hatutaki maneno matupe mwenye kibamia anasema basi
kibamia changu atakiona sakayo peke yake
MhUnashangiliashangilia sana unamuogopesha sakayo
Itabidi tujadiliane kwanza wawili akiHaha nichagulie nimwambie Mod aediti
Woyoooo![]()
![]()
kibamia changu atakiona sakayo peke yake
Mh
Umeanza basi acha niwaache yasije yakatokea kama ya siku ile eti nimesababisha sakayo akukimbie
ulimwambia jina langu linasadifu yaliyomo mpaka leo ananiogopaSawa mpenziItabidi tujadiliane kwanza wawili aki
Demiss kasema wapo kwenye saloon za kiume....barber shops kama nimemuelewa vizurinawapenda alafu siwaoni
Ukitendwa nitafute nikufute machozi.
Wewe ndiyo, hovyo uhandsome wa mume siyo sura, wenye sura wengi mashoga, mwanaume handsome kwa suruali(pesa na mashine plus urijali). Mwanaume/kidume halisifiwi au kujinadi kwa sura.Wapendwa marafiki.
Nimekaa nimewaza nikaona nitoe dukuduku hili.
Unajua kwanini wakaka mahandsome hawaoi?
Nawakioa asilimia chache wanadumu asilimia kubwa hawadumu kwenye ndoa.
Haya ndio majibu ya ukweli.
1.wanajisikia wanajijengea wao ni wazuri saa yeyote watapata wanawake.
2.wanavijisheria vyao vibovu kabisa.
3.unakuta asilimia kubwa wamejijengea mwanamke akilini wa kumuoa mf. Mastaa , wenye chura,wenye kujichubua nakuvaa nguo kali kali unakuta unapoteza muda katika watu ambao nao hawana malengo yakusettle kuwa mke wamtu wao bado wanatafuta tofauti nahuo uhandsme wakobado hakupendi hujamvutia anakula na wewe maisha tu uko serious naye unamwonyesha kwenu kwa mabest akishamaliza show yenu anaanza kushtuka utamuoa au kumfuatilia anasepa so unabwagwa.
Anayekuja kumuoa demu wako nijamaa wakawaida i mean sura hakuna .
Unatafuta mke mpaka ukimpata unakuta ni malaya anampeleka mtoto bar mwingine hanyanyui hata mguu hakujali yeye ni simu na laptop hata hakupi haki yako yupo nimechoka mpenzi tufanye siku inginee.
Sasa unakaa naye mpaka unatoka nje nakikupa unahangaika mwenyewe.
Upo unaawaacha wadada wanaokupenda kukujali nakukuheshimu kisa ya sura au hana chura au anayo hana miguu mizuri au anakila kitu ni kwa maana mfupi au mrefu sana humtaki unamkataa au kwa maana kwenu ni muislamu humtaki mkristo .
Utashinda ukipiga miayo wenzako hawakuchagua wanawatoto wakubwa wako msingi wewe unabaki tu unashangaa umezeeka unasura imeanza kuchuja unasaka mke ambae kiuhalisia hayuko ila yupo akilini.
Usipoangalia utachagua mpaka uzeeke ufe.
Kwa maana mwanamke ni yule wakawaida tu.
Ilimradi akupe hitaji la moyo wako ulishawahi kumuona rihana na beyonce wameshawahi kudate na mtanzania gani?
Kaa tu Rihana atakuonaga kwenye JF.
ngoja ninyoe nianze kupitiamo hukoDemiss kasema wapo kwenye saloon za kiume....barber shops kama nimemuelewa vizuri
Nakazia bigmindWewe ndiyo, hovyo uhandsome wa mume siyo sura, wenye sura wengi mashoga, mwanaume handsome kwa suruali(pesa na mashine plus urijali). Mwanaume/kidume halisifiwi au kujinadi kwa sura.
Jamani kweli nilisema hivyo![]()
ulimwambia jina langu linasadifu yaliyomo mpaka leo ananiogopa
Eti kutemwa, utakuwa zero mind!Hakuna sijawahi kutemwa wala mtu akiniziriaga basi sina shida namuukiza akinitolea nje si basii sio lazima upendwe nakila mwanaume kunawadislike na wanaolike hayo ndio maisha eti sio ulazimishe penzi kisa ni handsome.
Hakika! Waliotupata vidume hawajuti kamwe..Nakazia bigmind
Hawajutii vidume wenye sura ngumu uhandsome ndio nnHakika! Waliotupata vidume hawajuti kamwe..
Ebu nikumbushe jamani lakini si kweli uko na Mandingo jamani![]()
![]()
![]()
kumbuka