katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #41
Kama wewe ni handsome njoo jiteteee kwa maana maisha haya mtazeeka ukomsubiri rihana
Nimeshamuona huyo ni nomaaahWe muhandsome bana mshipa wake dada unaonekana tu hapo
Sema kweliNimeshamuona huyo ni nomaaah
Kwa hiyo inakua je sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan ndio sura zangu hizo ninazozipenda
Ngoja akujeMuulize Sakayo atakuambia
kweli tenaaSema kweli
Kuhusu nn sura mbaya wangu mwenye sura ya mbuzi niko nae jamani ananitosha sanaKwa hiyo inakua je sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka picha basikweli tenaa
nawapenda alafu siwaoni
we nawe kwaiyo unataka niweka apa nipewe banWeka picha basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we nawe kwaiyo unataka niweka apa nipewe ban
Hahaha siku akijua unamuita remy ongala lazima uchezee mabanziKuhusu nn sura mbaya wangu mwenye sura ya mbuzi niko nae jamani ananitosha sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]nawapenda alafu siwaoni
Sasa si ni kweli jamani ako ana sura kama remy ongala jamaniHahaha siku akijua unamuita remy ongala lazima uchezee mabanzi
Jidanganye tu zama zimebadilikaMm sura mbuzi ice ndio nazipenda sana kwa sababu upo peke ako yaan hakuna list
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wkt najua kabisa we unatishaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ngoja watakuja
Kwa hiyo tuso
Handsome tusubir eeh
Hahaha eeeh mimi natisha kama ulivo sema.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wkt najua kabisa we unatishaa
me yoyote bhanaaa mradi awe smart
Hahaha we Inna acha uongoNimeshamuona huyo ni nomaaah