Mapenzi ya leo

Mapenzi ya leo

Shida ni kibamia tafuta mkuyati hamna anayetaka kupakwa shombo,
Mimi nina hela halafu nahonga sana ila kuwagegeda ndo inakuwa tabu,,,kila nikiwapa dushe wachezee wanaanza kutoa visingizio vingi nikitaka tunanihii
 
Shida ni kibamia tafuta mkuyati hamna anayetaka kupakwa shombo,

Kitu ukuni sio kibamia hata,,nahis wanaogopa hogo la jang'ombe ndo maana wanazingua. Sasa kuanzia leo ntakuwa siwapi dudu wachezee watalisikilizia tu kwa suprise likiwa linawaingia.....
 
KInachonisikitisha zaidi ni idadi ya vijana wanaotaka majimama ili kulelewa. Jamani hivi mwisho wa siku hali itakuwaje? Yaana job description yako wamtwisha mwanamke, na ya mwanamke wataka awe nayo yeye, atapumzika saa ngapi? Acheni hizo vijana, tujue kuwa hawa hawakuambiwa wale kwa jasho waliambiwa wazae kwa uchungu tu! Mpaka Beijing itukumbushe??

Waiter leta ingine nkalale, vijana wa kiume wanalia lia tu hapa, shut up you lazy kidds!!!!!

Bora umewaambia
 
Mdida, soma tena na tena post hii utanielewa.
 
Inashangaza sana kuona wadada wengi wa Leo wakitazama mahusiano ktk mlango wa pesa.....
Wengi wanaomba mpaka kero...
Badilikeni mnaboa sana, Haki sawa mnayolilia mtaipataje sasa?
Gnyt!!!

Unalo!!
 
Back
Top Bottom