Mapenzi ya kweli kumbe yapo

...nateseka sana Mimi ni bubu nilimpenda binti 1, lakin hakunielew, nilikuwa nikimwandikia barua lakini kanikataa kisa siongei me bubu... Saiv ana mwez kaolewa na jamaa fulan ana pesa lakini... Nateseka kwa kwel ububu huu jaman... naumia kwa kwel... Nikikutana nae njian nalia tu yan...
 
....bado singoo ... hapana ... bado upooo .... single .... hapana hapanaaa, Mola akawajalie watamanichoo
 
Dah pole sana Brother,usilie ipo siku utampata wako. Huyo halikua fungu lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…