Ataki pasua kichwa ya hawa sixpack wapaka poda yupo salama hawezi salitiwaDada ana body ya maana, anyway MUNGU mwema
Ingia ig ya mc DADY utaonaSio shooting ya bongo movie kweli?
Daah inaumiza lkn, Mungu ni mwema jamaa amepewa kifuta machoziKuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
Kwaiyo kusainisha watu kuingia na kutoka siyo kazi hujakuwa na majukumu ukula kwa shemeji ukitoka kwa shemeji utatafuta kibarua hata cha kufagia2TRA kitengo gani??usikute Yupo Mapokezi anasainisha watu muda wa kuingia na kutoka
Leta na Kazi ya Bwama Harusi
Kwanini umenitaja hapo mkuu? Kwamba sina mapenzi ya dhati au??Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
Hapo dada uhakika,mwanaume wake peke yake.Ila ninahisi huyu mwanaume ana ukwasu.Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343