Huwezi kuwaona kama hauna sifa wanazohitaji mkuu. Hebu anza kulifanyia kazi hilo kwanza.Wako wapi na mimi nijipatie mmoja, manake mimi siwaoni, mi naona wanawake, wanatufata wanasema wanaume zao hawaridhishi, sasa wana tafuta wakuwaridhisha,..hamna mapenz mpaka mtu achoshwe na maisha, get tied get laid,
Imani hamna maana ndio uhalisia uliopo kwa sasa.Kweli watu hamna imani na kwa style hii mtakua hampati hao wanawake wenye mapenzi ya kweli wasioangalia pesa...sababu hata nyie hamjiamini
Nakuona hadi unaandika huku unagugumia furahia upendoRaha kupendana jamani hadi raha haswaaaaaa.
Najisikia furaha sana mimi dk hii.
Mi silaumu mwanamke yoyote, nina experience kubwa sana na hawa watu, kwa iyo siwez kusemea moyo wangu, ila nyinyi you're tigers kwenye ngoz ya kondoo,Hahahaaaaa! Imenibidi nicheke tu. Hivyo we malaika? Hauna mapungufu? Wanawake wakati wanabadilika nyie mlikuwa sayari gani mkawa static!!!! Your wrong path ndio inayokuhunt, jichunguze kwanza, you atracts what you are.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu, tukianza kuzungumzia mapungufu yenu hapa hapatatosha. Hivi hamjiulizi kwanini wanawake hawaliilii kama ambavyo wanaume mwafanya siku hizi!!!!
Hebu kuweni wanaume jamani, rudini ktk nafasi zenu, zishikeni na mzitendee haki ipasavyo alafu muone kama mtalia lia tena!!
BTW we endelea kuwalaumu wanawake, wenzio wanaoa na kuolewa daily.
Chukua size yako mkuu.
Inabidi mmwage siri zote humu, maana wanaume wengi tunajua wanawake bila pesa utaishia kula kwa macho.nadhani
Kwema kaka ??Nakuona hadi unaandika huku unagugumia furahia upendo
Kama wanawake wamebadilika nyie ndiyo chanzo kikubwa.... tuna mapungufu yasiyobebeka? Yenu yanabebeka?Usiseme mwanaume asiyejitambua nyie mnajitambua,... Mimi nina jirani yangu anauza duka la chakula, ameomwoa mwanamke, yule mwanamke kamwibia million 5 ,kwa kazi yake ni hela nying, alichofanya yule mwanamke, anahonga kwa viben10,nyie wanawake mmebadilika sana, na hata kama yupo mwenye upendo wa dhati, atakua na mapungufu mengine kweny ndoa ambayo hayabebeki,... Nachojarib kusema Wanawake
mmekua changamoto kubwa sana, in general mapenzi yamekua komplex sana siku izi, hasa yamjini,Tamaa imeshika hatamu sana
Mimi Rais nipende basiKuna ile mtu anaweza akakwambia ni bodaboda ila ukiongea nae kuna kitu cha ziada unakiona ndani yake.
Lakini kuna vile vimeo akikwambia ni muhasibu unaona kabisaaaa huyu konda bila chenga.
Khaaa mtutue basiMie huwa nawasoma naishia kuwadharau tu, usiwatilie maanani malezi nayo yanachangia. Ukijumlisha na hali ngumu ya maisha stress zao unadhani watatolea wapi!!!
Tatizo mnapenda kushindana hata kweny ukweli, ndo maana tukaaga kimya, tunawaacha kama mlivyo, maisha yaendeleeKama wanawake wamebadilika nyie ndiyo chanzo kikubwa.... tuna mapungufu yasiyobebeka? Yenu yanabebeka?
Mungu anakupa wa kufanana nawe, kama unakutana na vimeo basi jua na wewe ni kimeo...
Badilika kuwa mwanaume na sio mvulana naamini utapata mke bora
Ila eli katika Hip hop kuna kauli tunasema ukiona shabiki ni kuku basi watemee pumba au mchele wadonoe...Nakubaliana nawe mleta mada, wanaume wengi tunakosa kujiamini, uongo mwingi na tunataka kufeki ili tukubaliwe na wadada.
Kwema aseeh naona wanatusema hawaKwema kaka ??
Bora tupende hela,unaamua kutoka na MTU ambay hana pesa unamvumilia na kumpa moyo ipo cku Mungu nasi atatukunia Nazi,Siku akipata utakoma ata kiswahili atakisahau.Bora nipende pesaHadi leo naamini hivyo maana sijawahi kuona wanawake wa mapenzi ya dhati.
Kila wanapoona pesa hawachoki kusumbua na kurukwa akili.
Acha tuendelee kuzitafuta aiseeh
Hawatuwezi, sisi hatutabaki tulivyo,... Wanawake wanapenda kutulaumu sana, wakati source ya kututoa mbinguni ni wao, teh tehKwema aseeh naona wanatusema hawa
Na hii ni mbaya sana mtu akigundua umemdanganya uaminifu unapungua kabisa, acha mtu akupende na uhalisia wako akupende wewe kama wewe.Nakubaliana nawe mleta mada, wanaume wengi tunakosa kujiamini, uongo mwingi na tunataka kufeki ili tukubaliwe na wadada.
Na ujue kuzitafuta, ila usilete ukimwi nyumbani,Bora tupende hela,unaamua kutoka na MTU ambay hana pesa unamvumilia na kumpa moyo ipo cku Mungu nasi atatukunia Nazi,Siku akipata utakoma ata kiswahili atakisahau.Bora nipende pesa
Ni kweli Daby, lakini kama unatafuta life partner sioni sababu ya kuwa muongo. Kama ni mlupo wa one night stand au huna future nae ofcoz unaweza kumdanganya coz lengo ni kumlala...Ila eli katika Hip hop kuna kauli tunasema ukiona shabiki ni kuku basi watemee pumba au mchele wadonoe...
Wanaume wanawaambia wanawake wanachotaka kuskia
Nilikumiss mama lake Maserati na parcel tuliongeaga upo bandari, naufanya clearance ntakupatia wapi namawazo mieNdio bado yapo and i believe so.