habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Kwani unalazimishwa kumjibu akipiga sim usipokee akituma sms usijibu uone kama atandeleaKila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu
Hutapokea simu ndo km umemwambia apige kila baada dk 2 akiona vipi anatumia hadi nyingineKwani unalazimishwa kumjibu akipiga sim usipokee akituma sms usijibu uone kama atandelea
Anakula brock fasta hakuna kitu kama kurizwa swari moja siku nzima umekula uko wap huyo ukichunguza kila anapo kupigia sim hakuna jipya anaongea yare yare huyo pasuwa kichwaHutapokea simu ndo km umemwambia apige kila baada dk 2 akiona vipi anatumia hadi nyingine
Niangushwe kivipiWw unapenda uangushwage tu halaf basi
Brock=BlockAnakula brock fasta hakuna kitu kama kurizwa swari moja siku nzima umekula uko wap huyo ukichunguza kila anapo kupigia sim hakuna jipya anaongea yare yare huyo pasuwa kichwa
Niangushwe kivipi
Mkuu Leo umemeza Viagra au kasongo?Upigwe mti tu
Unapenda mtu ameze viagra?Mkuu Leo umemeza Viagra au kasongo?
Kasongo itapendeza zaidiUnapenda mtu ameze viagra?
Hehehehe ww si umezoa toyKasongo itapendeza zaidi
Hehehehe ww si umezoa toy
HeheheheheMara moja moja huwa napasha na original
Si wajua hata mazoezi ya viungo utafanya jimu weeee lkn siku moja moja watakiwa utoke ukafanye uwanjani kupata radha origino
Sasa si ungemfesi na kumchana mkuu, unakuja huku atajuaje kama hupendiKila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu
Kibaya yake hujapokea kisha namba mpya unapokea kwa madaha.Hutapokea simu ndo km umemwambia apige kila baada dk 2 akiona vipi anatumia hadi nyingine