Mapenzi ya Kitapeli

hahaha mapenzi yamekuwa khabare ya mujini. mama wa watu anafanya supplimentary, hakufall in love maisha yake yote saa hizi ndo kastukia maskini. hata kama hawamuingilii mama yao lakini uamuzi wa kuuza nyumba angeshirikisha wanae at least
(huu uzi ufungwe. kuna mzee naiwinda pensheni yake nikinyanyuka nayo ntakushtua dada Dena Amsi)
 
Last edited by a moderator:
Hii si kwa wamama hata kwa mabinti. Dont try kuishi na marioo utajuta
 

Haha ngoja niongee na mod wafanye yao nimekumiss mbaya
 
Last edited by a moderator:
hahaha miss you too gelofrendi. Uzee na majukumu vinatutenga bwana.
Ila seriously it is pathetic jinsi ambavyo vijana wadogo wanatafuta wake za watu. Yaani wako bold kabisa anakuambia anatafuta free ride na kutangaza umahiri wake kitandani. Aaagh, laana za kujitakia.

Poleni na masaibu. Wanae wawe karibu nae tu manake next ni kufa kwa stress hapo wakose mwana na maji ya moto
Haha ngoja niongee na mod wafanye yao nimekumiss mbaya
 
Reactions: Mbu
Aisee!! Maskini nimemuonea huruma huyo mama mpka basi...duh!! Mapenzi haya....
 

Yaani hilo la uzee ni hatari maana juzi nilikuwa najicheki nikakuta nimezeeka ha ha yaani hata wasichana wawe makini walioko kazini maana kuna ka kijana kamoja kanasema mie nataka mwanamke mwenye kazi sitaki mama wa nyumbani tena vikija kwenye ofisi yako kikikwambia twende lunch SITUKA
 
Yaani mimi je acha tu imeniuma halafu ukimwona na anavyoumwa sasa sijui kama atadumu maana anakaa anasema nimetapeliwa M40??? Huruma hadi basi

......maskini, anawehuka siku si zake.
Hajatapeliwa, katoa ki roho saaafi!

kwa sie watu wa imani twajisemea ndio rizq yake hiyo 5m!
 
Hiyo ndio huitwa muoshwa huoshwa....mama kaingizwa kingi kizembe zembe namna hiyo kisa mpini anaopigwa na huyo serengeti>>?? ama kweli mapenzi ni ushenz.i .
 

Nitamstua atumie kichwa kikubwa na sio kidogo kufikiri!
 
Hivi wanajeshi nao huwa wanavulishwa nguo na raia...!?? Yaani km mimi nilivyo hivi,nitongoze mwanajeshi!!!,watu wanaujasiri aisee,akihisi unachepuka si utaruka ki-chura!? Huyo dogo balaa licha ya kugonga afande kafanya hadi uhalifu!!? Sipati picha mama aje akutane nae maeneo ya pale lugalo.
 
......maskini, anawehuka siku si zake.
Hajatapeliwa, katoa ki roho saaafi!

kwa sie watu wa imani twajisemea ndio rizq yake hiyo 5m!

Yaani ni balaa afadhali kuwehuka nahisi kama atapooza kabisa maana BP hazishuki vizuri...

BTW: Umepotelea wapi??
 
Reactions: Mbu

Afande mwenyewe ukikutana nae ukaambiwa ndio huyu utaruka kimanga nakusema unadanganywa
 
Duh....
Mama alipata funzo uzeeni....na wala hataelimika.....too late!!

Kakutana na corn artist wanaotumia miili!!!

 
Reactions: Mbu
.....umeona ee? tena kwa masimango!
hi hadithi inatufunza, "jasho la mtu haliliwi!"

Mmmmhhh hapa sina hakika maana wote walikuwa wajeshi na mwanaume alikuwa na cheo zaidi ya mkewe
 
Reactions: Mbu
.....umeona ee? tena kwa masimango!
hi hadithi inatufunza, "jasho la mtu haliliwi!"

Mmmmhhh hapa sina hakika maana wote walikuwa wajeshi na mwanaume alikuwa na cheo zaidi ya mkewe
 
Yaani ni balaa afadhali kuwehuka nahisi kama atapooza kabisa maana BP hazishuki vizuri...

BTW: Umepotelea wapi??

.....nipo bana, siku hizi wakongwe mmepotea,
nikibahatisha kukuta monazite thresd ndio naikodolea mimacho kukoje.

Mmmmhhh hapa sina hakika maana wote walikuwa wajeshi na mwanaume alikuwa na cheo zaidi ya mkewe

...mnh, pole zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…