Hii taarifa imekaa njema ndugu kama ungeweza kuweka na dalili za fangus wa mdomon ingesaidia sana kwa mtu kujigundua kama ana tatizo hlo.
thanx kwa elimu
Mamaaaaaaaaaaaaa mmh hii ni hatar
Ni kweli kabisa...hizi njia tunazotumia kufanya mapenzi zina shida yake...kufanya mapenzi naturaly kunafaida sana...ila inahitaji uvumilivu na kujitoa
safi doc..
lakini doc, hizi njia naturally unazosema ni kwamba no romance allowed?
hisia zenu sasa zitaamshwaje?
Kuna romance inaweza kufanyika pasipo kulambana nyeti. Just a simple touch on sensitive areas huamsha hisia kiasi cha kutosha.!
Hivi hayo uliyoseyasema ni ya kisasa ? au yapo tangia enzi na enzi; There is nothing new mkuu.... na kuhusu cunnilingus (kama mtu ni msafi) ni kwamba its more likely kukawa na bacterias wengi kwenye mdomo wake kuliko hata kifaa chake..., by the way it is said that same bacterias found in vagina are also found in yogurt...
What am trying to say is watu wafanye kile ambacho kinawapendeza wote wawili na sio kumfurahisha mmoja tu na kama wote ni wasafi basi its safely to say that its safe...
Mkuu kwenye miili yetu sehemu nyingi zina bakteria ambao wanasaidia kwenye immunity pia. Hao wanaitwa normal flora. Hawa hawaleti shida yoyote pale mahali wanapopatikana. Shida inakuja pale wanapohamishwa na kwenda sehemu tofauti na pale pa asili. Bakteria wa kwenye k sio sawa na wa mdomoni Ndugu yangu.!! Aafu ujue we differ genetically, kitu kisichokuletea shida wewe sio kila mmoja hakitamdhuru.
wow.. this sounds good... lakini kwa vijana wa sasa bila kugusa kinywa wanahisi hawajamaliza hisia zao..
thanks indeed..
Unajua kuna vitu huwa tunavifanya ili tuonekane tunaenda na wakati pasipo kufikiria upande wa pili. Can you imagine mtu anakwepa kuchomeka uboo(ambao ni mgumu) kwenye k kwa kuogopa vvu lakini yupo radhi kufyonza lips zake(ambazo ni rahisi kutokea mchubuko) kwenye k. Aafu utasema umefanya safe sex!!!!!?
Mkuu labda mm natumia biology...unajua wakati mwingine haya mambo hayahitaji baiology... Lakini natural way namaanisha kwamba km ni romance inakua ile natura mwanamke anasehemu zake(zile sehemu zenye nerve nyingi)..mwanaume ukiwa mvumilivu(sisi huwa tunarush) unamwamsha poa kabisa...haina haja ya chimvini au wapi...maana kuna madhara makubwa sana mkuusafi doc..
lakini doc, hizi njia naturally unazosema ni kwamba no romance allowed?
hisia zenu sasa zitaamshwaje?
Mkuu labda mm natumia biology...unajua wakati mwingine haya mambo hayahitaji baiology... Lakini natural way namaanisha kwamba km ni romance inakua ile natura mwanamke anasehemu zake(zile sehemu zenye nerve nyingi)..mwanaume ukiwa mvumilivu(sisi huwa tunarush) unamwamsha poa kabisa...haina haja ya chimvini au wapi...maana kuna madhara makubwa sana mkuu
Sio chemical mkuu...ila kuna bacteria na virus wengi(human papiloma virus, herpers simplex virus), fungus...na hawa wote ni wadogo sana(microscopic) huwezi ona kwa macho.. Ambao wanaweza kusababisha magonjwa mengi kwenye kinywa na ulimi..kina baadhi ya study zinaonesha husababisha mpaka cancer km wakifanya cellular transformationahsante sana doctor.. ila nina swali dogo tu kwako, huko chumvini ambako vijana wengi wanakukimbilia, hivi ni kweli
kwamba kunaathiri ulimi kiasi cha kubabuka? kuna kemikali gani ambayo inasababisha ulimi unachanika doctor?
Sio chemical mkuu...ila kuna bacteria na virus wengi(human papiloma virus, herpers simplex virus), fungus...na hawa wote ni wadogo sana(microscopic) huwezi ona kwa macho.. Ambao wanaweza kusababisha magonjwa mengi kwenye kinywa na ulimi..kina baadhi ya study zinaonesha husababisha mpaka cancer km wakifanya cellular transformation