Mapenzi ya kichina

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
UKISHUHUDIA MAMBO HAYA basi
ujue Mpenzi wako ni wa-KICHINA.

1. Yale mapungufu unayoyaona katka mwili wako ye anakudanganya ndo ameyapenda. Mf. We cha Ufupi, yeye anakwambia 'NAPENDAGA WAFUPI!'
au unajijua kabisa una bichwa baya kama langu halafu anakwambia ‘baby me love yo head!!'- wa- KICHINA.

2. Hakupigii simu mpaka um2mie vocha- Wa-kichina huyo.

3. Dume zima kila cku kumpiga mizinga mtoto wakike- mchna feki.

4. Kidume swala tano, wa kike naye mtoto wa mchungaji, mnadanganyana KUOANA. Wote nyie wa-KICHINA. Mwende mkawekewe 'hauzing' mshazeeka.

5. Mpenzi kila akikutana na wewe anataka mfanye ngono- huyu MCHINA tena wa Kamera.

6. Anajifanya ana wivu sana, akiona umeandka ki2 fb ananuna- chukua tahadhari atakulipukia huyo.

7. Mida yake ya kupga simu ni saa 4 usiku hadi 12 asubuhI- huyu Bundi la kichina.

8. Mkiwa chumbani yeye kila unapomgusa anajidai kusisimka..tena bingwa wa kupiga makelele- MCHINA WA TOCHI.

9. Anajidai kupenda maisha ya wazungu..mara akuombe pesa ya kuweka kope za bandia mara makucha kama jini- Huyu naye kuwa naye makini atazima muda wowote.

10. Siku ukiwa na gari unaendesha anajiachia, mikiwa mnagombania daladala anavaa baibui-Screen touch ya kichina huyu!! Muda wowote anazingua.

11. Anajisifia sana mali za wazazi wake ilimradi umwonee yupo juu- Huyu naye mchina sema anapatikana duka moja tu linaitwa facebook.

12. Bingwa wa kujidai anajua sana kiingereza kuliko Kiswahili wakati anachapia kwa sanahuyu naye weka Silent mode asije kukuabisha mbele ya rafiki zako.
13. Mtoto wa kike anakulaghai eti ooh!! Ukitumia kondom mi huwa nawashwa…baby pliiz- Shtuka mchina huyu anataka kukuuzia mimba isiyokuwa yako.

14. Wote mnasoma chuo…mnalipiwa na wazazi. Halafu yeye bingwa wa kukueleza shida zake- Muweke kwenye chaji huyu hakawii kuzima ni Mchina.

15. NA YEYOTE YULE ANAYEJIJUA MCHINA. NAYE NI MCHINA TUU
 
Ukiona dume linalalamika lalamika nalo ni la kichina tu...
 
Mnavyojua kuwasingizia Wachina...khaaa!!!
 
eti ni mchina weka silent mode asije akakuaibisha

nimepatia pozi kuna sim za mchina zina makelele hizo maana
ikipiga halaf mko na watu we mwenyewe utajisikia karaha
 
Mtoa mada una undugu na wachina
 
Nawaonea huruma wanawake hawapumui kila siku mnaandamwa tu cha msingi mbadilike
 
Sim ina mpaka tune mode..base, pop, rock na vikolongwezo kbao
 
Haya maandishi yenyewe yamepangwa kichina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…