-Watu wanaopenda mteremko ndio hutoa tigo.
-Wengine ni masharti ya waganga(ushirikina) to get fame au wasifukuzwe kazi au issue za biashara au madaraka.
-Wengine wana genye za KIKE(tatizo la kibiologia).
-Wengine wameathiriwa na punyeto hivo kule hakubani akishauriwa apige amber ruty ndio ataridhika, akijaribu tu ashanasa (addict).
-wengine kuigaiga(ulimbukeni) tu wanaishia kuwa walevi wa tigo.
Sio jambo zuri kwasababu Mungu alitengeneza kila kiungo na kazi yake.
Lakini watu wanakengeuka na kusema haki za binadamu.
Watu wa Haki za binadamu hafai kabisa. Nikiwa rais 2025 nawafutilia mbali kabisa ni kheri tuongozwe kwa kufuata vitabu vya dini.