mbona watu wengi tu wanafanya hivi, hii ni kawaida sana tu. unatuma electronic ticket asipokuja unaclaim hela yako unarudishiwa % kubwa tu, na unamtumia demu wa kibongo, anakuja kama kawaida.New liar in the block! Unamtumia ticket mtu usiemjua, air ticket? You surely a facebook kiddo!
Wa fesibuku? Hahahaha, ukianza kutumia wa jf unikumbuke basi katika ufalme wako. Hatuongelei watu wengine, tunakuongelea wewe nilidhani.:glasses-nerdy:mbona watu wengi tu wanafanya hivi, hii ni kawaida sana tu. unatuma electronic ticket asipokuja unaclaim hela yako unarudishiwa % kubwa tu, na unamtumia demu wa kibongo, anakuja kama kawaida.
....and you don't have to be on it altogether and that's what I've chosen to do.
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.
Nadhani wanaofanya hivyo ni watoto/utoto tu,mtu mzima na anayejiheshimu hawezi fanya mambo hayo. Pia ulimbukeni unawasumbua.
Wa fesibuku? Hahahaha, ukianza kutumia wa jf unikumbuke basi katika ufalme wako. Hatuongelei watu wengine, tunakuongelea wewe nilidhani.:glasses-nerdy:
Sijaelewa... Somebody help plizzzzzzzz!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Labda umri nao unachangia