mapenzi ya dot com siyo sawa na mapenzi ya p.o.box.mapenzi ya dot com unashikilia roho mkononi.mia
Bana Mapenzi ni kitu cha ajabu saana.... Tukifuata logic, Morals, kujisafisha, kuji paint kua ni watu tupingao upuuzi au kua na multiple partners lazima tutaponda mdada... but hadithi kama hizi inabidi uwajue wahusika na mahusiano yao since long.... na mazingira ya mahusiano yao kabla ya kujudge... Mimi ninavoelewa kulala na mtu mwingine ambae sio mpenzi wako (sometimes haimaanishi kua humpendi ulo nae - THOU ni tabia chafu na mbaya..); Nielewavo mimi ni tatizo zaidi kama mhusika ambae kafumaniwa anakua na "Don't care attitude" au ku over do emotions za kujifanya kajutia.... Enways... Don't know what to say...
Mbona hilo swali wanaliuliza wanawake siku zote???? Nadhani wewe ni mwanamke pekee niliyemsikia akisema hivyo!!
Genuinely don't know nisememe nini.... ila tu napenda kua realistic in most cases DC....
Sawa ila karibu wanawake wote niliokutana nao hawaamini kwamba mwanamume anaweza kwenda kufanya sampling na testing huko nje na akawa bado anampenda. Wewe unatokea sayari ipi??

Sayari ya experience... learning from mistakes.. loving... heartbreaks... observation... Great guy friends (with no benefits) and never regretting but learning from every thing nimepitia na walo pitia wa karibu yangu... Best remedy....
Nina msemo fulani... Usipo jifunza kupitia kwa mistakes za wa karibu yako (jamii) utajifunza kwa kupitia mwenyewe....