Mapenzi ya dhati na kweli

Mapenzi ya dhati na kweli

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Hivi kweli siku hz kuna mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza vijisenti kidogo basi unampata mdada yeyote. Je tutafika kwa staili hii?
 
Yapo mapenzi ya kweli inategemea vp unajitabulisha kwa mdada,na mdada gani unachukua,ukijitambulisha kua wewe mwakuliwa utaliwa halafu uishie wenzio wachukue ulipoachia wewe,na ukiingia kwania safi na sio kujionyesha eti kua wewe unazo basi utampata atakae kukubali wewe kwa hali uliyokua nayo sio kwa kitu ulichonacho..kuna baadthi ya wanaume wanadhani kuendesha gari japo lakuazima kutamfanya mwanamke akuone wewe Pedeshee la nguvu kumbe anakuona Pimbi..
 
Mapenzi ya dhati na ya kweli yako Analog
Ila DIGITAL no money no love!
 
nimechoshwa sana na hizi mada zinazojustfy pesa ndo mapenzi. kila tukisema bado haliwaingii akilini watu kibaya zaid lara 1 atahuabiri pesa ilivyo the driving factor na side B wakaka watahubiri wadada wanavyopena hela sasa mie ninachoshindwa kujua ni jambp moja kwann mtu usi date mtu unayeendana nae kiuchumi??

mathalani wewe mtoa mada umemwona kabisa gfsonwin sio wa hali yako why being bothered na feelings towards her?? achana nae go for your type.

istoshe ustegemee maisha yawe kama uwazavyo wewe.
 
Last edited by a moderator:

Wakikua wataacha...kuna umri assumptions za maisha zinaweza zikawa hovyo kabisa. Hela hazina mwenyewe zinatafutwa. Kila mtu anayezitafuta anaweza kuwa nazo...sijui kwanini watu wanalalamika bila sababu.
 
na hapo ndipo penye tabu yaani kila siku kulalamika tu kullamika tu
 
Hivi kweli siku hz kuna mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza vijisenti kidogo basi unampata mdada yeyote. Je tutafika kwa staili hii?
Tatizo na wanaume mmeweka mbele mgegedo...muulize mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Bishanga naye anawalilia wadada machozi ya damu
tena mbaya zaidi 'chop my money' zilikuwa ni mkopo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli siku hz kuna
mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele
kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza
vijisenti kidogo basi unampata mdada yeyote. Je tutafika kwa staili
hii?

Hata nyie wanaume mmewekeza zaidi kwenye sex yaan ukikubaliwa tu unaanza kudai sex wengine hata kabla ya kukubaliwa so na nyie hamna mapenzi ya kweli mna tamaa ya ngono tu
 
Back
Top Bottom