amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
Kuna baadhi ya madaktari wana tabia za ajabu sana wamevuka mipaka badala ya marupurupu yao kuwa ni pesa sasa marupurupu imekuwa ni ngono kwa wagonjwa.
Yaani mgonjwa akiwa anatibiwa daktari anaanza kumtongoza ili kulipwa fadhila ya ngono baada ya mgonjwa kupona. Wengine wanadiriki hata kufanyia ushenzi huu ofisini kabisa!
Je, haya ndo marupurupu ya doctor?
Hii ni kinyume kabisa cha maadili.