Mapenzi ya ajabu kweli

Kweli kabisa... Not fair
 
Very true kabsa yan hata kwangu inatokea napenda nisipo pendwa ila kuna wa kunipenda lakini simpendi inabidi tukomae ivo ivo tu
 
pole sana, ila ukija kukata tamaa yeye ndo anaanza kukaba penalty
Alafu sasa kuna kwann unaiona
.. Yaan kuna mtoto mwingine anakwenda nusu kaputi kabisa akiskia leo namuacha
Nina hasira nashindwa nifanyeje huyu mwingine anipende
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…