Mapenzi ya ajabu kweli

Moyo wangu umebaki kusukuma damu tu!
Kupenda nimeshasahau miaka saba iliyopita!!
Pole sana Mganga,,,nimecheka na ikabidi nisinyamaze..Asilimia kubwa ya watu wameshaumizwa kwa kupenda pasipo sahihi na kumdharau mwenye mapenzi ya dhati,,na ndio Maana hufika Kipindi mtu husema nitaoa/ kuolewa na yoyote atakaejitokeza maskini,,mbaya,,mchawi au mkorofi au kibabu,,,,lakini jipe moyo na ujue ATAFUTAE ataona.Tafuta na usiache kutafuta..unaweza kuja kukutana nae hata usipopategemea.ila jiweke kwenye mode ya kutafuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…