Mapenzi ya ajabu kweli

Kwa mtu ambaye ame experience na mambo ya mapenzi, lazima atakubaliana na wewe mkuu, binafsi nakubaliana nawe…sijui huwa ni pepo gani linalosababisha hali kama hiyo kutokea …!
 
Inabid tuwe tunajitoa ufahamu tu kwenye mapenz hayanaga kanuni
 
sasa nikikubariki nitakuwa tena adui
Sasa ukimpenda rafiki yako utapata nini? Maana ata wazinzi, majambazi, wachawi, wesengenyaji nao wanao marafiki zao wanapendana hivyohivyo..!
Mimi ngoja nikubariki wewe my enemy..!
 
Nadhani hata tafsiri ya mapenzi ina utata. Kila mtu anatafsiri anavyo yajua!
 
Kwa jinsi maisha yalivyonishibana sina hamu na mapenzi
 
Kwa jinsi maisha yalivyonishibana sina hamu na mapenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…