makolola
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 765
- 290
Nauliza kwa vile vijiji ambavyo viko maporini wanapeana vipi mapenzi enzi za uchumba na urafiki? maana unakuta hakuna gesti, vyumba ni miti na vyasi, maji hata ya kunywa ni machafu.
sasa najiuliza huko kuna cha kupendana au ni kuzaa tu?maana mabinti wengi unakuta wameshazalishwa na kuachwa ukiuliza gesti utauta ni zaidi ya km 300 kutoka kijiji hicho.
sasa nikashindwa elewa kama hayo nayo ni mapenzi.