Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

kheeee eti aliolewa coz alichoka kukaa nyumbani??? kwaio hana kazi??? daaaaa mpe pole tu ila hafanyi poa kabisa
 
Kuna mwanamziki anaitwa 20% tafuta nyimbo zake usikilize .....
acha tamaa za kijinga mdada , unachoomba ushauri ni ujinga
 
Mkuu mazungumzo haya kama alivyoandika muanzisha hufanyika baada ya njemba kupewa papuchi akanogewa na mrembo naye kunogewa na gegedo.

Kabla hujaanza kutukanwa humu naomba niulize je huyo mlopotezana mawasiliano ameshakulala ukiwa na Huyo wa Sasa?
 
nenda kwa unaye mpenda tuone kama mtadumu.!alafu ucsahau kuleta mrejesho hapa mkibwagana
 
Kubafu.unataka kufanya remix ya ndoa yako eeemh? huko kilikupeleka nn ? Hivi mtu na kichwa chko umaweza kuuliza au kuomba msaada kwa mambo yakipimbi haya some tym wanawake mnakera sana asee@!!! Muombe mumeo ushauri kuhusu hilo then apate kerbu kama 4 hivi asee.Nfyuu
 
una mwamini vipi huyo mpenzi wako wa zamani? Tupa kule.ndoa na iheshimiwe na watu wote
 

hapana baki ulishaaribu tangu mwanzo uwezi jua kwann mlipotezana
 
Omba talaka ila jua utaomba talaka mpaka kuingia kaburini
 
wanawake mwl wao ni kipofu..nimeamini. we omba talaka sie tunasubiri part 2 JAMAN NISAIDIEN HUYU MME WNGU WA SASA ANANINYANYASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…