First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
- Thread starter
-
- #41
unashangaa nn sasa?!
Ww ndio nakuzungumzia
mimi sio mwenye tatizo.. tatizo nimeletewa nami nimelileta kwa wadau mezani mkuu... First Born ni mwanaume.. soma vizuri heading.
My god hivi dada hebu jiweke wewe kama mumeo halaf ukafanyiwe unachotaka kusikia utajifikiriaje halaf wewe dada kwa mumeo si wapata unachotaka mapenz ya dhat pia si anakupatia hiv umezaa nae tayar bado hujajifunza kumoenda na kwenda nae kwenye biti mambo mengine n.kujitakia ukienda kwa huyo kwanza ujichongee na jeneza kabisa.
Kuuliza ni kuzuri lakini kuna maswali mengine mtu akikuuliza kama unaye karibu itabidi kwanza umtikise kichwa ili kujua kweli kilichomo kimo au kuna nyuki wanazidi kulundika masega tu ndani ya kichwa......!

Nipo kwenye ndoa kwa miaka 3 sasa na nimefanikiwa kuzaa mtoto mmoja.
Lakini kabla sijaolewa nilikuwa na mchumba aliyehitaji kunioa ila tulipotezaga mawasiliano miaka mingi sana.
Tatizo linalosababisha niombe ushauri ni huyu mchumba wangu wa zamani maana kwa sasa amerudi, kusema kweli bado nampenda sana na yeye pia amesema ananipenda anataka niombe talaka kwa huyu mume wangu wa sasa ili tuweze kuoana.
Huyu mume wangu wa sasa nilikubali tu kuolewa naye kwakuwa anajiweza na nilichoka kukaa nyumbani, ila yeye anaonesha ananipenda kweli.
Naombeni ushauri wenu niendelee tu na huyu mme japo simpendi au niende kwa mtu ninayempenda