Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

jje's

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
10,886
Reaction score
16,585
Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.

Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.

Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.

Naahidi kukupenda daima.
 
Mapenzi ni matamu....sana hasa nyoyo mbili zilizoshibana kwa huba zinapokutana.......ni kama vile unaishi katika ulimwengu mwingine wa raha.....

Ni kama vile umeuweka ulimwengu kiganjani.....

Raha yake haielezeki kiasi kwamba unakuwa bubu ingali unaweza kuongea......

Uzito wa penzi unapofusha macho kiasi kwamba huoni baya juu ya huyo aliyebeba huba lako......

Raha za pendo zinakufanya chumba kimoja cha mpenzi wako na kibatali....uone kama umelala kwenye hotel ya nyota tano.....


THAT IS LOVE....

THAT IS POWER OF LOVE.....
 
mpwa
upo?
 
Asante bby nimezipokea shukrani zako... na nikuahidi kwa dhati maana msema uongo mpenzi wa shetani nitaendelea Kukukojoza Kweli Kweli.

(In Guma's voice)
i did not mention kukujozwa. Mapenz is not all about kukojozwa. Luckly it was not meant for you so shida sipati hata kwa uzi wako.
Thanks anyway.
 
that is where I am right now. thanks for expanding my thread.

Big up Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…