Mapenzi, uhusiano na Imani

Mapenzi, uhusiano na Imani

1. Kuachana katika ndoa.
Katika amri 10 za mungu hakuna amri inayokataza watu kuachana. Lakini wakristo wengi wamekuwa wakiishi katika ndoa ambazo zimegeuka kuwa ndoano kwa sababu wanaogopa kuachana. Ndivyo walivyofundishwa kwamba kuvunja ndoa ni dhambi, ingawa mungu hakusema hivyo katika amri alizotupa. watetezi wa hoja hii wana nukuu kifungu fulani kwenye biblia mbacho yesu alitamka kuwa 'alichokiunganisha mungu, mwanadamu asikitenganishe". lakini katika biblia hiyo hiyo Yesu alimwambia mtu mmoja aliyemuuiliza afanye nini ili apate ufalme wa mungu kwani amekuwa akifuata mari zote za mungu, Yesu akamjibu 'Uza kila kitu ulichonacho halafu unifuate". Kama ni kufuata kile kitu yesu alichosema au kilichoandikwa katika biblia basi tufuate na hili. Hii ni mfano mmoja tu wa maneno ya yesu ambayo yatuyafuati, yako mengi. Wandugu, kuachana siyo dhambi kama unaona ndoa yako ina matatizo get out of it freely. Kuachana bila sababu ya msingi siyo ustaarabu. Pima na amua

Divorce siyo dhambi ndugu. Tatizo linakuja pale kwenye grounds for divorce (kwa nini muachane) soma Biblia yako tena uone kwa nini watu huamua kubaki ndani ya ndoa kwani kuondoka tu kiholela ndiko kunakoleta hiyo dhambi (Matt. 19:9).
Neno linasema, sababu mojawapo inayoruhusu wanandoa kutengana ni kwa sababu ya kutokuwa muamimifu ndani ya ndoa na nyingine kama spouse mmojawapo si muamini na akaamua kuondoka, hapo hufungwi tena na sheria bali paulo anasema, "Yet if the unbelieving one leaves, let him leave; the brother or the sister is not under bondage in such cases, but God has called us to peace," (1 Cor. 7:15).

WARNING: Mpango wa Mungu kwa wanandoa si kuachana kamwe. Mungu anataka Wakristo tuchukulie ndoa zetu very seriously kama ulivyoquote hapo juu, "...alichokiunganisha Mungu..." Ila kutokana na ugumu wa mioyo ya wanadamu, Mungu katika Biblia ametoa sababu ambazo zinaweza kupelekea kutengana..as a last resort.

The point here sio kuonesha uhalali wa talaka au la, ni kuendelea kusisitiza juu ya utakatifu wa ndoa na kwamba iheshimiwe na watu wote, ila...

Jesus replied, "Moses permitted you to divorce your wives because your hearts were hard. But it was not this way from the beginning.
9. I tell you that anyone who divorces his wife, except for marital unfaithfulness, and marries another woman commits adultery."
10. The disciples said to him, "If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry."



2. Kuoa mke zaidi ya mmoja.
Kuoa mke zaidi ya mmoja si dhambi kwa sababu katika amri zote 10 hakuna inayokataza hivyo. Amri inasema usitamani mwanamke asiye mkeo. Mungu hapa nawaambia wanaume wasitamani wake za watu. Mungu hakuwaambia wanawake wasitamani wanaume wasio waume zao, kwa sababu alijua mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume hata kama tayari mwanaume huyo ameoa, ila mwanamke hawezi kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja ndo maana mwanamke akishaolewa ni dhambi kumtamani achilia mbali kuzini naye. Kwa tamaduni za wa afrika wengi swala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali. Lakini kwa mtazamo wangu siyo ustaarabu kuoa mke zaidi ya mmoja. Ila ni vyema ukao mke wa pili, wa tatu n.k kuliko kuwa na nyumba ndogo. Maana nyumba ndogo ni dhambi na pia siyo ustaarabu, kuoa mke zaidi ya mmoja siyo dhambi ila siyo ustaarabu. Pima na amua.

Genesis 2:24
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.

Deuteronomy 17:17
...Neither shall he multiply wives to himself.

Matthew 19:4-5
Have ye not read, that he which made them at the beginning made them male and female, And said, For this cause shall a man leave father and mother, and shall cleave to his wife: and they twain shall be one flesh? Wherefore they are no more twain, but one flesh.

Matthew 19:9
Whosoever shall put away his wife, except it be for fornication, and shall marry another, committeth adultery: and whoso marrieth her which is put away doth commit adultery.

Mark 10:11
Whosoever shall put away his wife, and marry another, committeth adultery against her.

1 Corinthians 7:2
Let every man have his own wife, and let every woman have her own husband.

Ephesians 5:33
Let every one of you in particular so love his wife even as himself; and the wife see that she reverence her husband.

1 Timothy 3:2
A bishop then must be blameless, the husband of one wife....

Titus 1:6-7
If any be blameless, the husband of one wife, having faithful children not accused of riot or unruly.


3. Mapenzi ya jinsia moja.
Kanisa la anglican linafungisha ndoa za jinsia moja. wengi walishangaa na uamuzi wa kanisa la anglican kuruhusu ndoa za jinsia moja. Wanajua siyo dhambi ndo maana wanafanya hivyo. Haikukatazwa kwenye kwenye amri 10 za mungu. Hapa watu wanaongozwa na mapokeo na utamaduni zaidi kuliko amri za mungu. Mapenzi ya jinsia moja ni ruksa kwa mujibu wa mungu.


4. Mapenzi kinyume na maumbile.
Kuna siku nilisikia dada mmoja akisema 'Huo mchezo ziwezifanya kabisa ni dhambi KUBWA SANA, yaani mungu hapendi kabisa'. sasa nikajiuliza, haogopi kuzini kitu ambacho mungu amekataza, lakini anaogopa kinyume na maumbile wakati hata mungu hajakaza. Mwee. Do it freely for your pleasure, at your own risks.

Ni hayo tu kwa leo.

"For this reason God gave them up to vile passions. For even their women exchanged the natural use for what is against nature. Likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust for one another, men with men committing what is shameful, and receiving in themselves the penalty of their error which was due."
-Romans 1:26-27 (NKJV)
"Do you not know that the unrighteous will not inherit the kingdom of God? Do not be deceived. Neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor homosexuals, nor sodomites, nor thieves, nor covetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners will inherit the kingdom of God."
-1 Corinthians 6:9-10 (NKJV)
"Knowing this: that the law is not made for a righteous person, but for the lawless and insubordinate, for the ungodly and for sinners, for the unholy and profane, for murderers of fathers and murderers of mothers, for manslayers, for fornicators, for sodomites, for kidnappers, for liars, for perjurers, and if there is any other thing that is contrary to sound doctrine,"
-1 Timothy 1:9-10 (NKJV)
​
Mistari hiyo mitatu inakuonesha kuwa 'ushoga' na 'mapenzi kinyume na maumbile (hata neno lenyewe linakuonesha isivyo sahihi...kinyume na maumbile! argh' ni unnatural, matendo ya aibu, na yanapingana na mafundisho ya neno la Mungu na zaidi sana yanatunyima kuuingia na kuuona Ufalme wa Mungu.

Hivyo basi haviwezi kuwa vitendo vilivyohalalishwa na kanisa la Mungu. Kanisa lipo ili kusaidia watu kuokoka na siyo kubariki njia za kuhalalisha upotevu wao.
 
Wapi alipouçhafua ukristo? Kuzisimamia amri kumi za Mungu ni kuuchafua ukristu?

Wakristo tunazishika amri kumi pamoja na neno la MUNGU linalotokana na kitabu kitakatifu cha Biblia. Kama ni kushika amri kumi tu basi kusingekua na haja ya kuwa na Bible.
 
Sawa mimi nimekariri. Je wewe ambaye hujakariri unawweza kuniambia ni kigezo gani kanisa la England walitumia kuruhusu ndoa za jinsia moja? Au wewe ndo unajua sana biblia kuliko wao?

Hao wamekengeuka!!.Suala lisiwe kwanini wale wamefanya na kwanini mimi nisifanye.
 
Mtoa Mada, je unajua haya? Kitabu cha Mungu, iwe Biblia au Korani unaweza kuitafsiri vyovyote upendavyo wewe kwa lengo la kukidhi matakwa yako na matamanio yako hapa duniani. Unaweza kutumia kitabu hicho ili uweze kwenda peponi au tafsiri yako ikupeleke jehanamu. Biblia unayoinukuu inasema YEYOTE YULE AMUACHAYE MKE WAKE NA KWENDA KUOA MKE MWINGINE, ANAZINI. Na vivyo hivyo mwamke akimwacha mume wake akaenda kuolewa na mwanaume mwingine ANAZINI TU. Amri za Mungu zipo KUMI tu, hazina nyongeza wala punguzo. Usichanganye amri kumi za Mungu na Kanuni na sheria za Madhehebu mbali mbali. Baadhi ya madhehebu ya Kikristo yanaruhusu unywaji ya pombe na mengine yanakataza. yapo mengi yakusema ila nafasi ndogo. Tendo la kujamiana, kwa mujibu wa vitabu vya Mungu, lipo kwa ajili ya kukamilisha uumbaji. (Kutengeneza mtoto.) Wanaadamu kwa ujinga wetu tumegeuza ni kitendo cha starehe. Tendo la kinyume na maumbile halina nafasi, soma biblia ujue Sodoma na Gomora walifanywa nini na Mungu kwa vitendo vyao vya kulawitiana. Kwa kifupi, usipotoshe watu wa Mungu, anzisha dhehebu lako na uhubiri hayo unayoona yanakufaa. Martini Luther, mwanzilishi wa thehebu la LUTHERAN hakukarabati amri za Mungu, bali aliondoka Ukatoloki kwa sababu alitofautiana na nao kwenye baadhi ya kanuni za kanisa hilo. Kama wewe unataka ukarabati hata amri za Mungu endelea tu lakini utavuna utakachopanda pamoja na hao wenzio wenye mawazo kama yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom