Mapenzi sumu jamani

Mapenzi sumu jamani

ubarikiwe sa
Punguza kumwazia kwanza,,jenga mazingira ya kumwona kama rafiki wa kawaida..Usiongozwe na hisia wala usizipe nafasi..Ukianzia hapa kama utamtafuna kirahisi sana.Mwache akutafute yeye,,akutumie sms yeye akija mfundishe msindikize karibia na jengo lake then rudi.Siku Ukijisikia amani Mwambie neno moja la mapenzi hata asipojibu kausha.utapata nafasi ya kumsoma vya kutosha na utaweza kuamua kwa usahihi.
ubarikiwe sana mapenzi yanauma sana
 
We endelea kumfundisha tu, ameshasema hakutaki kimapenzi..shauri yako utajuta...HAMNA KITU KIBAYA KAMA KUPENDA USIPOPENDWA
 
Back
Top Bottom