Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
Daaah sijui mleta mada katendwa so anajipa tu moyo hapa eheh!
100% mpenzi wako akipendwa na mwenye pesa anachukuliwa kaka!Hizi kauli kama mapenzi sio pesa ni zetu sisi maskini kwa kujifariji tu!
Mwenye pesa hawezi kosa mpenzi anayemtaka lkn sisi maskini inafikia hatua unachukua yyt anayepatikana maana hauna option!
Naishia kuwaita wasichana warembo shemeji tu!