Mapenzi Sio Pesa

Mapenzi Sio Pesa

Ukiona mwanaume anakwambia mapenzi sio pesa, kimbia coz kwa kifupi anasema I am broke

It's all in your head, ingekuwa hivyo huyo mtoto wa kidosi asingekwenda kung'atwa na mbu huko kijijini.
 
Unazidi potosha watu hatujasema chagua umasikini tumesema kwenye love na pesa bila love chagua love na ishu ya umasikini ni separate...Mnaweza Anza taratibu mkatoka...hii ndo point hatupo hapa kutetea umasikini
Ninaposema being happy is a choice simaanishi uchague umaskini, watu wengi sana hawaelewi kwamba kuwa na furaha ni maamuzi binafsi, ndio maana changamoto moja inaweza wapata watu wawili tofauti, mmoja akawa miserable kinoma na mwengine poa tu kutokana na maamuzi yake aliyochukua. By the way hata kuwa maskini its a choice, ushawahi kujiuliza kwa nini in a world where success is available to everyone only a few people are successful?
 
Sasa kumbe unaelewa its a choice why hutaki kuamini hata wanaopenda broke guys wana furaha?
 
It's all in your head, ingekuwa hivyo huyo mtoto wa kidosi asingekwenda kung'atwa na mbu huko kijijini.
Unasahau kwamba mapenzi ni exchange Fulani, mtoto wa kidosi umeshasema ametoka familia ya kitajiri so labda anchotafuta yeye kwenye mahusiano sio pesa labda orgasm ikibidi hata ang'atwe na mbu
 
Wewe kwenye mahusiano unatafuta pesa? Kwan mahusiano ni kazi au biashara? Kwann usitafute pesa mwenyewe? Halafu mapenzi ni exchange ya kitu gani?
 
Tangu lini umaskini ulileta furaha kwenye maisha ya mwanadamu? Kwa nini watu wanafikiri watu wote wenye pesa hawana furaha au ukitaka kuwa na furaha lazima uwe na pesa. Being happy is a choice.

hamna mwanadamu masikini bwana wewe
 
Sasa kumbe unaelewa its a choice why hutaki kuamini hata wanaopenda broke guys wana furaha?
kwa nini wasiwe na furaha wakati wameshafanya maamuzi yao, by the way being broke is a temporary situation but being poor is a state of mind
 
Some women are just prostitutes in disguise
 
Ridhiko la moyo ni lipi? Na haya.maridhiko ya moyo yanafanana kwa kila.mtu?

Yanatofautiana kati ya mtu na mtu, na kwa habari hii mezani, binti alichagua mapenzi aliyonayo kwa kijana juu ya mambo mengine yote
 
Wala hakuna aliesema kila mtu ridhiko la moyo ni moja...watu tu wanajistukia
 
hata kun'atwa mbu ni adventure to some, kama ulivyosema, its all in your head.

It's all in your head, ingekuwa hivyo huyo mtoto wa kidosi asingekwenda kung'atwa na mbu huko kijijini.
 
ha ha ha, kuna wengine ukiona mihela tu orgasm pale pale. Sasa ya nini ukajibane na mtu ambaye hawezi kukupa utakacho?

Mdada kachagua kapuku kaonekana mshindi, so kila mtu achague kapuku?

Hivi wanamme wenye pesa wanalazimishwa kuoa vipuku?

Na mapenzi ya kweli ni mjumuisho wa mambo mengi, sio pesa peke yake.Sema sababu ya njaa zetu watu tunatizama pesa tu.

Inawezekana utu wake, inawezekana mbegu zake zinafotoa watoto wazuri, inawezekana machejo.Yote haya ni siri ya moyo wa mtu.

Na love haipo costant all the.time, lazima mtu ajishughulishe ku maintain love vinginevyo inakufa kifo cha asili.

Unasahau kwamba mapenzi ni exchange Fulani, mtoto wa kidosi umeshasema ametoka familia ya kitajiri so labda anchotafuta yeye kwenye mahusiano sio pesa labda orgasm ikibidi hata ang'atwe na mbu
 
Umetumia neno sahihi, binti kachagua furaha zaidi ya jambo lolote. Kwa hiyo ambao furaha inaletwa na pesa?

Yanatofautiana kati ya mtu na mtu, na kwa habari hii mezani, binti alichagua mapenzi aliyonayo kwa kijana juu ya mambo mengine yote
 
mapenzi yeyote ni barter trade, unatoa na kupokea, na mwenzio anatoa na.wewe unapokea. Ni two way traffic, sio njia moja.

Kinachobadilishanwa ni nini, hapo ni ntu na ntu.

Wewe kwenye mahusiano unatafuta pesa? Kwan mahusiano ni kazi au biashara? Kwann usitafute pesa mwenyewe? Halafu mapenzi ni exchange ya kitu gani?
 
Umeona eeh, na hiyo state of mind inaharibu personality nzima ya mtu hasa katika kujiamini.

So choice ya huyu dada sio cut off point ya watu wote, furaha ni relative.

kwa nini wasiwe na furaha wakati wameshafanya maamuzi yao, by the way being broke is a temporary situation but being poor is a state of mind
 
Kama mwingine raha mustarehe kunywa togwa, why mwingine ahukumiwe kwa raha mstarehe yake akinywa wine?

Kama mwingine raha yake ni kukaa kijijini na koroboi dinner, mihogo ya kuchoma, kwa nini mwingine ahukumiwe kwa raha yake kwenda vakesheni Manhattan?

Being brave ni kujua nini kinakupa furaha na kukitafuta. Kama ni mwanamme maskini, haya kama ni mwanamke tajiri, kama ni mwanamme tajiri sawa.
Mengine ni opinion tu za watizamaji, kumbuka unaishi mara moja.

Hayo ya kwenda vacation na kunywa wine ni mjini tu mkuu! Kuna watu wanakunywa togwa na mihogo ya kuchoma raha mustarehe.
 
Back
Top Bottom