Mapenzi Sio Pesa

Mapenzi Sio Pesa

Mi cjamkandia mkuu au uoni vizurii....mi nmefurahishwa na aliekoment ivo ulipaswa kumwambie yy na sio mm.....istoshe kwenye mapenz akuna cha pesa wala utajir waweza kua na pesa na ukampenda maskin....pia waweza kua maskin na ukampenda mwenye pesaa

Nime quote vibaya dada yangu ila nimekuelewa, sorry.
 
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!

Hamna bana wapo wenye mapenzi ya kweli tatizo mnachagua masharo...ha ha ha
 
Poverty culture inatusumbua...tunajali sana image ya kuonekana kuliko ukweli halisi...poverty in our mind haijatutoka

Nilishangaa kumsikia Dude kwenye Mkasi anasema kuna mabinti wanadai wana nyumba kumbe hata mbavu za mbwa hawana. Image issue.
 
Well said!
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu
 
Na mm nlie na galaxy ya laki tano na bado npo shule ninunue cherehan???

Kama huna utashi na kushona unaweza fanya kingine...kama simu umepewa zawadi its okay..but point ni kuongeza kipato kuliko ku spend....
 
Hapa ni suala na preference, wengine wanapenda weusi, wengine wembamba.

Wengine tukiona midola chini ya mto tayari tinafika Kibo na.Mawenzi. Liwe wazo la mwanamme huyu ana pesa real love inakuja.
 
Unataka kununua mbuzi kwenye gunia?

Wengi wanaotumia B complex kwa ajili ya kuongeza apetait wanatoka familia za kishua. Home mlo mmoja b complex ya nini? Tandale hizi dawa hazipo.

Huyo dada ukute yuko kwenye risechi kujua maskini wanaishije. Hapo akipewa funds za kuanzisha charity familia yake aweze kuweka vipaumbele sahihi.

Si unajua study za tamaduni hadi ukae nao na ni vizuri wakukubali kama mwanajamii mwenzao.

Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
 
Na wewe si ni muhindi?

We mie sio muhindi....aya mambo hata apa tanzania yapo sana ya mwanamke kumpenda mwanaume asie na pesa au mwanaume kumpenda mwanamke masikini. ...tatizo linakuja skiz ukimpenda mtu asie na pesa na ikatokea mkatoka kimaisha kwa juhudi za wote wawil either mwanamke kamtoa mwanaume or mwanaume kamtoa mwanamke kimaisha wengi wetu huaga tunasahau na kuanza michepuko na kuwadharau watu waliotutoa kwenye maisha ya kimaskini na hili jambo ndio linachangia sana skiz weng wetu tunaogopa kumpenda mtu asie na pesa....na ndio maana ckiz mwanaume awez oa mwanamke asie na kipato na vilevile mwanamke awez olewa na mwanaume asie na kaz ni kwasabab tunapenda urahisi wa maisha
 
umasikini ni kovu la kiakili....hata ukikuisha unaku disturb bado...
Ni kweli mkuu, ukikutana na demu katoka kwenye familia nzuri kama hajatulia unakuta ni ujana tu, ila akitulia hasa kwenye ndoa anatulia haswa mpaka unakuta wenzake wana muliza jamaa anakupa nini mpaka umetulia tu, ila ukikuta maskini mswazi akili inakuwa mbele dakika 10 mwanzo mwisho, ukipata anatulia kiaina, mungu akileta mtihani wa kipato kidogo anachanganyikiwa, umaskini noma
 
Ni kweli mkuu, ukikutana na demu katoka kwenye familia nzuri kama hajatulia unakuta ni ujana tu, ila akitulia hasa kwenye ndoa anatulia haswa mpaka unakuta wenzake wana muliza jamaa anakupa nini mpaka umetulia tu, ila ukikuta maskini mswazi akili inakuwa mbele dakika 10 mwanzo mwisho, ukipata anatulia kiaina, mungu akileta mtihani wa kipato kidogo anachanganyikiwa, umaskini noma

wengine wasichana unakuta ukoo unamtegemea sasa asipoangalia pesa atafanyaje...pesa mbele kama tai.....ndivyo walivyo zoeshwa ........kila anaekutana nae anajiuliza how can I use this one to go forward.. for them to love a person is to use a person.....
 
Back
Top Bottom