Mapenzi sio pesa ona hii

Mapenzi sio pesa ona hii

Hii maada sijaielewa kwa hyo ukiwa na muonekano mbaya hauna haki ya kupata mchuchu mzuri
 
Jamaa bonge la hadsome, c unajua hakuna mwanaume ugly...
 
Maneno yako ni ya kifalsafa..kwamba muonekano uliomvutia mtu ukibadilika aliyevutika naye anapoteza mvutiko..
Ndivyo ilivyo mkuu..!
Ni wazuri kwa wasifu wa nje kwa sababu hatujui wasifu wao wa ndani.
 
Back
Top Bottom