Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,090
- 165,243
dah! ongelea experience yako, ulisha wahi kumuweka reserve mtu huku ukigegedwa na mwingine?
msitupe kabisa!!!!!!!!!
aisss!!lkn kwanini majibu yanakuwa tofauti!msipopewa kabisa ndo thread zitamiminika humu kuhusu kunyimwa penzi
ukipewa siku hiyo hiyo shukuru........
ukiambiwa subiri hadi mwezi shukuru pia
aisss!!lkn kwanini majibu yanakuwa tofauti!
subiri hadi mwezi...
subiri hadi nifikilie...
kutoa jibu kuna uhusiano na kuwa huyo mtu ni mala.ya au siyo?!!mmmh sijui kama utanielewa maana nimeandika haraka haraka!
Nimekuelewa Zamaulidi sasa kama mtu na wewe unampenda ya nini kuwa kumzungusha
wakati unajua kua hata mkikaa mwezi the answer will be the same
wewe unaweza kukubali??hayo mambo ya kufikiria yashapitwa na wakati......
ila sio unapewa unakimbia, otherwise umwambie ukweli kwamba akusuuzie tu kirungu uchape lapa
we ni mpita njia tu.
wewe unaweza kukubali??
Makubway not?
vigezo na mashart kuzingatiwa!!!!!!!!
Siku hizi baadhi ya vijana wengi hawana subira kwa sababu: Mosi hawana upendo ila wana matamanio, pili ugumu wa maisha unawafanya baadhi ya dada zetu kujirahisi. Mnakutana leo na leo leo mnamalizana!
Kwa kifupi hakuna mapenzi ila tamaa tu hapo.
Makubwa
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
mmmh!yaani ndo umpende ndani ya muda siku moja!
Siku hizi hadi Kabang 0713 unapewa siku hiyo hiyo.
Kwani wewe ulimtongoza in the first place ili iweje?akuzungushe?acha ushamba kijana kaa vipi nenda katongoze kijijini kwenu
vipi wale wanaokutana kwenye daladala!kabla ya kushuka wanapita wanachakachua ndo wanaendelea na safari!!!kama mnakaa mtaa mmoja kila jion anapita barazani kwenu....,
vipi wale wanaokutana kwenye daladala!kabla ya kushuka wanapita wanachakachua ndo wanaendelea na safari!!!