Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,021
- 61,902
Michepuko yangu yaanza kulumbana kwa njia ya simu na kupeana vitisho.Kila mmoja anamwambia mwenzake,'sitaki nikuone na Equation X;he is mine' ingawa hawajawahi kuonana 'live'.Na mbaya zaidi wote wako tayari kunipatia mtoto,na mimi watoto kwangu ni hazina.
Wenye uzoefu katika haya mambo,mlitatua vipi changamoto ya namna hii bila kuumiza upande wowote?Na mimi napenda niishi nao wote wakiwa na amani na utulivu.
Wenye uzoefu katika haya mambo,mlitatua vipi changamoto ya namna hii bila kuumiza upande wowote?Na mimi napenda niishi nao wote wakiwa na amani na utulivu.