Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,927
- Thread starter
- #21
Kawaida tu mkuu...So u r proud kua na michepuko miwili sir?
Kawaida tu mkuu...So u r proud kua na michepuko miwili sir?
Kuna mahala tulikutana jinsi unavyozungumza nilijuaga wewe ni mwanaume matured hasa,, lakini baada ya kuwa nasoma hizi mada zako nakuona kama boy flani hivi wa form two,,, samahani sana kama utakwazikaType tu mkuu hakuna shida,tunashea uzoefu pia
Hapana mi niko stress free katika life,kwenye kazi ni kazi,biashara ni biashara,na kuna muda wa starehe pia.Sio muda wote unakuwa bize kutafuta,wakati life is too short.Kuna mahala tulikutana jinsi unavyozungumza nilijuaga wewe ni mwanaume matured hasa,, lakini baada ya kuwa nasoma hizi mada zako nakuona kama boy flani hivi wa form two,,, samahani sana kama utakwazika
Hizi mada achana nazo vipo vingi vya kujadili km njia ya kurelaxHapana mi niko stress free katika life,kwenye kazi ni kazi,biashara ni biashara,na kuna muda wa starehe pia.Sio muda wote unakuwa bize kutafuta,wakati life is too short.
Ha ha ha ha watu wa rika moja wakikutana wanakuwa na akili za kitoto;jaribu kufanyia utafiti mkuu;mfano mashuleni,makazini n.kHizi mada achana nazo vipo vingi vya kujadili km njia ya kurelax
Hizi mada ni za watu walio kwenye balehe
Ha ha ha ha watu wa rika moja wakikutana wanakuwa na akili za kitoto;jaribu kufanyia utafiti mkuu;mfano mashuleni,makazini n.k
Demiss
...mbingu ipi? Maandiko hayo umeyatoa wapi?Mkuu kuna ''maandiko" yanasema kule watakuwepo wengi saana na uume utasimama kwa muda mrefu bila kukoma.
kama.una mkeNilishaoa mkuu....na hao pia wanaelewa nilishaoa ila ni katika ile hali ya ke ni wengi kuliko me
nimependa umemwambia ukweliBasi yaishe baki ulivyo nasepa zangu mimi,,
nimependa umemwambia ukweli
ha ha ha ha itawageukia mkuukama.una mke
basi wewe ni sugu
yaani michepuko miwili plus wife
wote wakiamua kukuekea limbwata si utachiz?
ha ha ha ukweli upi mkuu?nimependa umemwambia ukweli