englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Toa sababu kwanini huyu Mwanamme alaumiwe?Lawama zote ni kwa huyo mwanaume.
Toa sababu kwanini huyu Mwanamme alaumiwe?
Toa sababu kwanini huyu Mwanamme alaumiwe?
kwasababu mwanaume ndiye head wa security katika hiko kikao, sasa kapoteza umakini na kusahau jukumu lake la kwanza ni safety ya mpenziwe na yeye mwenyewe.