mapenzi ni udanganyifu

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
ni kweli mapenzi ni udanganyifu,coz kwann unakuwa na mpz zaidi ya mmoja?
 
Mapenzi sio udanganyifu...watu ndio wadanganyifu na ndio maana wanakua na watu zaidi ya mmoja!!Zaidi ya mmoja sio wapenzi ni watu tu walioingizwa mkenge!
 
Hivi unajua kwa mfano..mimi nikienda kumchukua changu nikaenda nae gesti, mimi na yeye kwa wakati ule ni wapenzi! mfano huu nataka tu kukuonesha kwamba kuna mapenzi ya aina nyingi, wengine unakuta mtu na mpenzi wake lakini hata hawajui future ya maisha yao ikoje..kwa nini nisiwe na wengine! wengine ndio wameona lakini basi tu ilimradi alitaka kuoa au kuolewa! kwa mpango huu lazima kutakua na uchakachuaji.
Lakini pia huwa kuna vijisababu vidogo vidogo viiiiingi vikiongozwa na tamaa ndio vinasababisha mapenzi yawe ya aina nyingi, ila tu nataka nikwambie kuna kitu kinaitwa TRUE LOVE, mkipendana, aminiana, lindana, kujaliana na kumkumbuka Mungu...basi inakua burudaaaaaaaani!
 
mapenzii yana jumuisha mambo mengi...udanga jifu ni moja wapo,ila huwezi kuacha kupenda na kuwaa katika mapenzi hata kama umedanganywaa...unavyo hisi yalivyo ndo hivyo yatavyokuwaaa
 
na kwann umchukue changudoa wakati unampz wako?au akulizshi?na kwann ucmwambie na ukaachana nae,sasa uon mapenzi n udanganyifu?
 
ndio coz uwezi ukaniambia unanipenda mm twety2 sana2 then 4same tym una Asha, c ndio udanganyifu wenyewe?na kwann uwe na asha wakati nakulizsha?au 2natotauti gan?au kuna utamu tofaoti?
 
na kwann umchukue changudoa wakati unampz wako?au akulizshi?na kwann ucmwambie na ukaachana nae,sasa uon mapenzi n udanganyifu?

huo nilikua nakupa mfano..kwa sababu kuna watu ambao hawana wapenzi ila anaposikia kiu anatafuta changu basi siku zinakwenda! ndio maana nikakwambia mapenzi yapo ya aina nyingi..mapenzi feki ambayo ndio yana exist kwa asilimia kubwa ndio hayo ya kutovunja ukimya na kuelewana!
 
Mapenzi sio udanganyifu...watu ndio wadanganyifu na ndio maana wanakua na watu zaidi ya mmoja!!Zaidi ya mmoja sio wapenzi ni watu tu walioingizwa mkenge!
kwani mapenzi yanaongozwa na nani?au kwani mapenzi yanaonekana?na mapenzi n nn?ukishajjbu ayo maswali ndio utapata jbu kuwa mapenz n udaganyifu unaoongozwa na wa2.
 
Back
Top Bottom