Daaah nimecheka Hadi watu wamenishangaa kwenye gari aisee....Mbona hueleweki hiyo mimba ilidumu kwa muda wa miaka mitatu toka mmeachana au badala ya kukushika bega ndo akapata mimba yako kama anavosema sijakuelewa![]()
Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu nimpita bila kumtambua."jamani Denis ndio hunioni au unajifanyisha." dah!
Nilishangaa sana nikawa navuta kumbumkumbu, nilisikitika sana nilipomkumbuka, hakuwa tena yule Nancy aliyekuwa anatikisa mtaa kwa urembo alokuwa nao, daah! Nilijawa na huruma sana, kufupisha.
Nilimsamehe kwa yote baadae nashtuka anasema ana mimba yangu dah! Nilifikiria sana.. Anasisitiza sana tufunge ndoa ili mtoto azaliwe ndani ya ndoa, lakini me nahisi hii mimba kaja nayo nifanyeje nipeni ushauri
kwahyo mimba ilikaa miaka mi3 inasubiri ije ikutane na ww sioKwahiyo hiyo mimba ina miaka mitatu.Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu nimpita bila kumtambua."jamani Denis ndio hunioni au unajifanyisha." dah!
Nilishangaa sana nikawa navuta kumbumkumbu, nilisikitika sana nilipomkumbuka, hakuwa tena yule Nancy aliyekuwa anatikisa mtaa kwa urembo alokuwa nao, daah! Nilijawa na huruma sana, kufupisha.
Nilimsamehe kwa yote baadae nashtuka anasema ana mimba yangu dah! Nilifikiria sana.. Anasisitiza sana tufunge ndoa ili mtoto azaliwe ndani ya ndoa, lakini me nahisi hii mimba kaja nayo nifanyeje nipeni ushauri
Mbona hueleweki hiyo mimba ilidumu kwa muda wa miaka mitatu toka mmeachana au badala ya kukushika bega ndo akapata mimba yako kama anavosema sijakuelewa![]()

FJ raha sanaMbona hueleweki hiyo mimba ilidumu kwa muda wa miaka mitatu toka mmeachana au badala ya kukushika bega ndo akapata mimba yako kama anavosema sijakuelewa![]()

dah,