Hahaaaaa!! My ex si unajua safari moja huanzisha nyingine!!!Sijambo my ex,tujikumbushe basi enzi zetu hata kuitana baby inatosha
Nimemshauri achagua mwenye hela kumzidi mwenzakeTena wote wana pesa


Eti umesema!!!Sasa udada na kaka tutaendelea nao hadi lini? N mzima?
Hahahahaha nimemiss mahaba yako my exHahaaaaa!! My ex si unajua safari moja huanzisha nyingine!!!





HahahaaNa uzee ntadhalilika tu!
Am unforgetable my ex.Hahahahaha nimemiss mahaba yako my ex![]()
Aisee imebidi niangalie kwa huu uzi wa lini.Mapenzi is overrated.
Btw Mapenzi ni hisia.... Na unajua kitu kikihusisha hisia
Angalia sasa!tutaamsha mengineAm unfogertable my ex.
Nipo mzee baba.... Uzi wa leo leoAisee imebidi niangalie kwa huu uzi wa lini.
Natumai uko poa
Yaani nitakuwa nacheka hadi nikaa chini, itabidi uache kunisuta tutajikuta tunaanza kula ubuyu.Ndo mnavyojiteteaga eeehj!!!ntakusutaaa
aseee hana usemi chief,Im good boss.... Mrs miller anasemaje